Uliyekuwa kondakta,ukapewa udereva baada ya dereva kufia njiani, umekamilisha kilometa kumi, na Leo unakabidhi gari, unataka Tena udereva Ili iweje?Salaam, Shalom!
Ulianza safari na dereva , dereva akafia njiani, akawekwa kondakta amalizie safari ya kilometa tano zilizobaki.
Hivi tunavyoongea, dereva Yuko njiani kwenda kuvunja nyumba Ile ya maamuzi ya ukoo.
Dereva ambaye ameshika usukani ,amefikisha jumla kilometa kumi za safari. Na mkataba wa mtangulizi ilikuwa ni hizo hizo kilometa kumi.
Swali:
1. Ulikuwa kiranja Mkuu darasani, safari ya Elimu yako ni miaka kumi, safari imetamatika Leo, na Leo ni siku ya kufanya graduation kukabidhi uongozi baada ya muda kwisha, je tamaa ya kurudi Tena kuchukua fomu ya Ili kurudi Tena uwe mwanafunzi Ili upewe Tena ukiranja Mkuu umetoa wapi ujasiri huo?
2. Uliyekuwa kondakta,ukapewa udereva baada ya dereva kufia njiani, umekamilisha kilometa kumi, na Leo unakabidhi gari, unataka Tena udereva Ili iweje?
Ama kweli, kifo Cha dereva kimewavuruga waliobakia.
Ngoja vumbi litulie, labda tutaweza kuona vizuri.
Adieu!
1. Ulikuwa kiranja Mkuu darasani, safari ya Elimu yako ni miaka kumi, safari imetamatika Leo, na Leo ni siku ya kufanya graduation kukabidhi uongozi baada ya muda kwisha, je tamaa ya kurudi Tena kuchukua fomu ya Ili kurudi Tena uwe mwanafunzi Ili upewe Tena ukiranja Mkuu umetoa wapi ujasiri huo?Salaam, Shalom!
Ulianza safari na dereva , dereva akafia njiani, akawekwa kondakta amalizie safari ya kilometa tano zilizobaki.
Hivi tunavyoongea, dereva Yuko njiani kwenda kuvunja nyumba Ile ya maamuzi ya ukoo.
Dereva ambaye ameshika usukani ,amefikisha jumla kilometa kumi za safari. Na mkataba wa mtangulizi ilikuwa ni hizo hizo kilometa kumi.
Swali:
1. Ulikuwa kiranja Mkuu darasani, safari ya Elimu yako ni miaka kumi, safari imetamatika Leo, na Leo ni siku ya kufanya graduation kukabidhi uongozi baada ya muda kwisha, je tamaa ya kurudi Tena kuchukua fomu ya Ili kurudi Tena uwe mwanafunzi Ili upewe Tena ukiranja Mkuu umetoa wapi ujasiri huo?
2. Uliyekuwa kondakta,ukapewa udereva baada ya dereva kufia njiani, umekamilisha kilometa kumi, na Leo unakabidhi gari, unataka Tena udereva Ili iweje?
Ama kweli, kifo Cha dereva kimewavuruga waliobakia.
Ngoja vumbi litulie, labda tutaweza kuona vizuri.
Adieu!
Ummalize la Saba, Kisha uchukue Tena fomu kuanza la kwanza,1. Ulikuwa kiranja Mkuu darasani, safari ya Elimu yako ni miaka kumi, safari imetamatika Leo, na Leo ni siku ya kufanya graduation kukabidhi uongozi baada ya muda kwisha, je tamaa ya kurudi Tena kuchukua fomu ya Ili kurudi Tena uwe mwanafunzi Ili upewe Tena ukiranja Mkuu umetoa wapi ujasiri huo?
2. Uliyekuwa kondakta,ukapewa udereva baada ya dereva kufia njiani, umekamilisha kilometa kumi, na Leo unakabidhi gari, unataka Tena udereva Ili iweje?
Hii kitu halijawahi kutokea tangu uhuru!Wewe ulipewa hiyo nafasi ya kulamba asali kwa mara ya pili utakataa? Tunalaumu sana ila binadamu kama binadamu tunapenda utamu uendelee tu
Ni vibaya mno mwanafunzi kugundua kuwa mwalimu ni chenga.
Mwalimu ashindweje kujua literature!Una kipaji kikubwa sana cha mafumbo hiki kipaji unatakiwa ukilinde nenda kaonane na malkia wa Mipasho akupe chorus kwenye wimbo wa taarabu
Maslahi mkuu , hata kama ndio mimi nikapata hiyo nafasi sitoki , labda mpige judo kama hawa🤔Hii kitu halijawahi kutokea tangu uhuru!
Yaani ummalize la Saba, Kisha ichukue fomu Ili kuanza Tena la kwanza tamaa ikiwa ni ukiranja Mkuu,
Huko SI kuvurugwa, ni nini?
🤣Ni vibaya mno mwanafunzi kugundua kuwa mwalimu ni chenga.
Tujisahihishe .
Viongozi wanafanya ujinga,Maslahi mkuu , hata kama ndio mimi nikapata hiyo nafasi sitoki , labda mpige judo kama hawa🤔View attachment 3385470
Hakuna pakwenda , wewe piga pesa ukipata nafasi kufa kwajaViongozi wanafanya ujinga,
Aibu tunaona sie waongozwa.
Tunaenda wapi?
Bt wanalipwa 80% ya mishahara yao Hadi umati uwakute!Hakuna pakwenda , wewe piga pesa ukipata nafasi kufa kwaja
Pesa haijawahi kutosha bwashee 😅Bt wanalipwa 80% ya mishahara yao Hadi umati uwakute!
Sasa shd ni Nini?
Tabia za kifurukobe hizi kurudi kinyumembele😂😂😂