Kwa sababu mwanzo nilimalizia safari kama kondakta baada ya dereva kuishia njiani sasa mimi nimejipanga na leseni yangu ya udereva hivyo basi nataka kuianza safari yangu ya kilomita kumi kama dereva kamili na hakuna wa kunizuiaUliyekuwa kondakta,ukapewa udereva baada ya dereva kufia njiani, umekamilisha kilometa kumi, na Leo unakabidhi gari, unataka Tena udereva Ili iweje?
SI waende kujiajiri?Pesa haijawahi kutosha bwashee 😅
Piko zingepigwa ban,Tabia za kifurukobe hizi kurudi kinyumembele😂😂😂
Mwanasiasa ni bingwa wa kuuza maneno , bila kuuza maneno kuwa mwanasiasa ni ngumu sanaSI waende kujiajiri?
Mbona Kila siku wanasimama majukwaani kutwambia tujiahiri au twende veta baada ya kugraduate degree?
Kondakta hakuwa na leseni,Kwa sababu mwanzo nilimalizia safari kama kondakta baada ya dereva kuishia njiani sasa mimi nimejipanga na leseni yangu ya udereva hivyo basi nataka kuianza safari yangu ya kilomita kumi kama dereva kamili na hakuna wa kunizuia
Nimekuelewa mzee ni namba moja ni pm namba mbili ni prezidaaaa1. Ulikuwa kiranja Mkuu darasani, safari ya Elimu yako ni miaka kumi, safari imetamatika Leo, na Leo ni siku ya kufanya graduation kukabidhi uongozi baada ya muda kwisha, je tamaa ya kurudi Tena kuchukua fomu ya Ili kurudi Tena uwe mwanafunzi Ili upewe Tena ukiranja Mkuu umetoa wapi ujasiri huo?
2. Uliyekuwa kondakta,ukapewa udereva baada ya dereva kufia njiani, umekamilisha kilometa kumi, na Leo unakabidhi gari, unataka Tena udereva Ili iweje?
Hayo ni maoni yako,Nimekuelewa mzee ni namba moja ni pm namba mbili ni prezidaaaa
Umejiongeza chap🤣🤣🤣🤣Hayo ni maoni yako,
Na kuna Kila dalili, umekosea😃
🤣😁😁🤣😁 Hakika amejiongezaUmejiongeza chap🤣🤣🤣🤣
View attachment 3385519
Majamaa hayacheki na yeyote sasa wewe jichanganye😅🤣😁😁🤣😁 Hakika amejiongeza
🤣🤣🤣🤣🤣😭😭Majamaa hayacheki na yeyote sasa wewe jichanganye😅
UJINGA GANI HUU TENA JAMANI HUYU KALA MAHARAGE YA WAPI ANAJAMBA USHGUZI UNAONUKA HIVIIIIIIIII?Salaam, Shalom!
Ulianza safari na dereva , dereva akafia njiani, akawekwa kondakta amalizie safari ya kilometa tano zilizobaki.
Hivi tunavyoongea, dereva Yuko njiani kwenda kuvunja nyumba Ile ya maamuzi ya ukoo.
Dereva ambaye ameshika usukani ,amefikisha jumla kilometa kumi za safari. Na mkataba wa mtangulizi ilikuwa ni hizo hizo kilometa kumi.
Swali:
1. Ulikuwa kiranja Mkuu darasani, safari ya Elimu yako ni miaka kumi, safari imetamatika Leo, na Leo ni siku ya kufanya graduation kukabidhi uongozi baada ya muda kwisha, je tamaa ya kurudi Tena kuchukua fomu ya Ili kurudi Tena uwe mwanafunzi Ili upewe Tena ukiranja Mkuu umetoa wapi ujasiri huo?
2. Uliyekuwa kondakta,ukapewa udereva baada ya dereva kufia njiani, umekamilisha kilometa kumi, na Leo unakabidhi gari, unataka Tena udereva Ili iweje?
Ama kweli, kifo Cha dereva kimewavuruga waliobakia.
Ngoja vumbi litulie, labda tutaweza kuona vizuri.
Adieu!
Kuna Nini kwani?UJINGA GANI HUU TENA JAMANI HUYU KALA MAHARAGE YA WAPI ANAJAMBA USHGUZI UNAONUKA HIVIIIIIIIII?
Tatizo ni mfumo mbaya ndio maana tunataka reforms zifanyike.Salaam, Shalom!
Ulianza safari na dereva , dereva akafia njiani, akawekwa kondakta amalizie safari ya kilometa tano zilizobaki.
Hivi tunavyoongea, dereva Yuko njiani kwenda kuvunja nyumba Ile ya maamuzi ya ukoo.
Dereva ambaye ameshika usukani ,amefikisha jumla kilometa kumi za safari. Na mkataba wa mtangulizi ilikuwa ni hizo hizo kilometa kumi.
Swali:
1. Ulikuwa kiranja Mkuu darasani, safari ya Elimu yako ni miaka kumi, safari imetamatika Leo, na Leo ni siku ya kufanya graduation kukabidhi uongozi baada ya muda kwisha, je tamaa ya kurudi Tena kuchukua fomu ya Ili kurudi Tena uwe mwanafunzi Ili upewe Tena ukiranja Mkuu umetoa wapi ujasiri huo?
2. Uliyekuwa kondakta,ukapewa udereva baada ya dereva kufia njiani, umekamilisha kilometa kumi, na Leo unakabidhi gari, unataka Tena udereva Ili iweje?
Ama kweli, kifo Cha dereva kimewavuruga waliobakia.
Ngoja vumbi litulie, labda tutaweza kuona vizuri.
Adieu!
We kibwengo hizo akili zako zina mavi isafishe kwanza. Samia was a co-driver, dereva mwenza siyo kondakta acha uzwazwa. Unaandika uharo huu bila ht haya? Magufuli alizunguka na Samia nchi hii kuomba ridhaa ya kuongoza nchi kwa miaka 5 kuanzia 2020. Walipopewa ridhaa Samia ndiyo akawa Rais mwenza, Magu aliendesha km ni gari kwa Km 0.4 (400m) tu, Samia ameendesha kwa Km 4.6 akiwa km dereva mwenza. Hayo mengine ni kutokana na upumbavu wako aidha kutokujua au kujaribu kumtweza mheshimiwa sana Rais wetu Samia.Salaam, Shalom!
Ulianza safari na dereva , dereva akafia njiani, akawekwa kondakta amalizie safari ya kilometa tano zilizobaki.
Hivi tunavyoongea, dereva Yuko njiani kwenda kuvunja nyumba Ile ya maamuzi ya ukoo.
Dereva ambaye ameshika usukani ,amefikisha jumla kilometa kumi za safari. Na mkataba wa mtangulizi ilikuwa ni hizo hizo kilometa kumi.
Swali:
1. Ulikuwa kiranja Mkuu darasani, safari ya Elimu yako ni miaka kumi, safari imetamatika Leo, na Leo ni siku ya kufanya graduation kukabidhi uongozi baada ya muda kwisha, je tamaa ya kurudi Tena kuchukua fomu ya Ili kurudi Tena uwe mwanafunzi Ili upewe Tena ukiranja Mkuu umetoa wapi ujasiri huo?
2. Uliyekuwa kondakta,ukapewa udereva baada ya dereva kufia njiani, umekamilisha kilometa kumi, na Leo unakabidhi gari, unataka Tena udereva Ili iweje?
Ama kweli, kifo Cha dereva kimewavuruga waliobakia.
Ngoja vumbi litulie, labda tutaweza kuona vizuri.
Adieu!
We mbwa koko huu uchafu mtumie mamako, pumbav lisilo na haya, kwanza kilaza mshamba hujui ht kuandika.Salaam, Shalom!
Ulianza safari na dereva , dereva akafia njiani, akawekwa kondakta amalizie safari ya kilometa tano zilizobaki.
Hivi tunavyoongea, dereva Yuko njiani kwenda kuvunja nyumba Ile ya maamuzi ya ukoo.
Dereva ambaye ameshika usukani ,amefikisha jumla kilometa kumi za safari. Na mkataba wa mtangulizi ilikuwa ni hizo hizo kilometa kumi.
Swali:
1. Ulikuwa kiranja Mkuu darasani, safari ya Elimu yako ni miaka kumi, safari imetamatika Leo, na Leo ni siku ya kufanya graduation kukabidhi uongozi baada ya muda kwisha, je tamaa ya kurudi Tena kuchukua fomu ya Ili kurudi Tena uwe mwanafunzi Ili upewe Tena ukiranja Mkuu umetoa wapi ujasiri huo?
2. Uliyekuwa kondakta,ukapewa udereva baada ya dereva kufia njiani, umekamilisha kilometa kumi, na Leo unakabidhi gari, unataka Tena udereva Ili iweje?
Ama kweli, kifo Cha dereva kimewavuruga waliobakia.
Ngoja vumbi litulie, labda tutaweza kuona vizuri.
Adieu!
Huo uchafu ni kipaji? Kwl vijana wa sasa wana udumavu wa akili, hpo fumbo liko wapi zaidi ya matopeUna kipaji kikubwa sana cha mafumbo hiki kipaji unatakiwa ukilinde nenda kaonane na malkia wa Mipasho akupe chorus kwenye wimbo wa taarabu
Hii comment yako ianzishie Uzi🙏We kibwengo hizo akili zako zina mavi isafishe kwanza. Samia was a co-driver, dereva mwenza siyo kondakta acha uzwazwa. Unaandika uharo huu bila ht haya? Magufuli alizunguka na Samia nchi hii kuomba ridhaa ya kuongoza nchi kwa miaka 5 kuanzia 2020. Walipopewa ridhaa Samia ndiyo akawa Rais mwenza, Magu aliendesha km ni gari kwa Km 0.4 (400m) tu, Samia ameendesha kwa Km 4.6 akiwa km dereva mwenza. Hayo mengine ni kutokana na upumbavu wako aidha kutokujua au kujaribu kumtweza mheshimiwa sana Rais wetu Samia.