Kifo Cha dereva, kimewavuruga waliobakia, Unatamani kugombea Ili iweje?

Kwa sababu mwanzo nilimalizia safari kama kondakta baada ya dereva kuishia njiani sasa mimi nimejipanga na leseni yangu ya udereva hivyo basi nataka kuianza safari yangu ya kilomita kumi kama dereva kamili na hakuna wa kunizuia
Mbona ulikwepa kwenda kwa vehicle kufanyiwa test?
 
Hata kama ni Tingo,leseni si ninayo!
 
Wengi watapukutishwa.
Kila kitabu na zama zake.
 
.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…