Kifo cha Diamond Platnumz kinaweza kupoteza Mamia ya watu pamoja na Muziki wa Tanzania

Kifo cha Diamond Platnumz kinaweza kupoteza Mamia ya watu pamoja na Muziki wa Tanzania

Jamani mbona Diamond ni Msangi tu wa kawaida tena na sasa kapitwa na vijana wengi tu. Akifa yeye HAKUNA kitakachobadilika hapa Bongo, wamekufa wanamuziki wa kweli sembuse huyu msanii tu?
 
Aliegundua mziki dunian kafa na mzik bado upo sa kama huyo diamond ndo mwanzilishi wa mziki afe tuone kama na mzik utaisha
 
Back
Top Bottom