Kifo cha George Floyd: Mashirika ya haki za binadamu yanaiogopa Marekani?

Kifo cha George Floyd: Mashirika ya haki za binadamu yanaiogopa Marekani?

Amnesty international wamekosoa mbona

USA: police must end 'excessive' militarised response to George Floyd protests

Japo kwa upumbavu wanaofanya wale waandamanaji, Ni sahihi kuwakabili na jeshi

Yale sio maandamano Ni ugaidi, kuchoma majengo Moto? Kupora? Kuharibu Mali?
Kistaarabu..hawakuwahi sikilizwa..

Sasa kwa hili..labda kidogo itasaidia..maana hapo ndio..wameshaanza kuonesha kuwa ..wameshaamua liwalo na liwe..

Hii ni namna ya kufanya mbabe nae ayahisi maumivu..
 
AI na HRW ni mawakala wa mabeberu.
Detections zao hazihusu nchi washirika,kwsni yako programmed kwa nchi za Kiafrika.
Tunapozungumzia haki AI na HRW wamebase kwenye kushugulika na serikali za kiafrika na inapotokea haki hizo zimevunjwa ndani ya nchi washirika hao wanakuwa na mobs na kuita ni waasi.
 
Nani wa kuitisha marekani?marekani itatishwa na marekani yenyewe,nje ya hapo hakuna,kingine nahisi maandamano ni makubwa sana kwa kuwa watu wengi hawampendi Trump so kuna waomboleaji,kuna wasiompenda trump,kuna watu wa vyama vya upinzani,wooote hawa wanatoa machungu yao
 
Amnesty international ame condemn the killing of floyd
I have seen also US embassy has issued Statement yesterday to condemn the killing of Floyd
 
Syolosu,

Wanasiasa wetu wanatakiwa kujifunza kitu hapa!
Wewe jamaa ni mjinga halafu hata hujajijua kama ni mjinga.

Hivi mkiuwa watu mnapata faida gani ?

Mnajaribu kutafuta uhalali wa kuuwa watu as if huko Marekani hao WAUWAJI hawajachukuliwa hatua yoyote.

Wauaji Wa George Wote Wamefutwa Kazi Na Kushtakiwa Na Kama Hilo Halitoshi WAMAREKANI WOTE WEUPE KWA WEUSI wanataka haki itenfke.

Sasa Ninyi KAYABO WA MAGUFULI Tuambieni WALIOMUUA AKWILINI WAKO WAPI ?
 
Na mabalozi wa nchi mbalimbali walio huko hawajaongea chochote.

Imagine hii issue ingekuwa Tz.
 
TCRA watuwakilishe kwenye suala la kupaza saut kwenye kifo vha Floyd[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom