Tetesi: Kifo cha ginimbi, mazito yaibuka...

Tetesi: Kifo cha ginimbi, mazito yaibuka...

Sasa huyo anayenunua gunia kwa 70,000 na kuuza kwa 42,000 ANAPATA wapi faida yake?
Inawezekana zisiwe halali.

Lakini habari za kwamba kuna majoka yanatema hela, hizo ni fiksi.

Hayo majoka huwa yanazitengeneza hizo hela tumboni halafu ndo yanazitema?

[emoji1787][emoji1787]
 
Utapeli wa level zake huwez kuufanya bila kushirikiana na nguvu za Giza binamu

Ingawa marehemu alikua ni msomi mzuri tu , alikua na masters ya business administration, sasa wenzangu na mie mnataka kuwa kama ginimbi hata certificate hamna

Uzuri matapel wa nchi za wenzetu wako smart sana kichwan , wanatapel had wazungu wenye elimu zao za juu sio bongo hapa, hata kiingereza kuongea shida Sijui wanamtapel nani
Hahahaha tapeli wetu sie tunaemwaminia Tanzania [emoji1241] ni dude juzi Kati alipata ajari ya boda boda unakuwaje tapeli unapata ajari soo cheap matapeli wa mbele wapo smart hao hata kutoka nje Wana check uwezekano wa mvua kunyesha kwenye utabiri wa Hali ya hewa
 
Nasikia na ile Ferari imeshika moto na kuteketea...
 
Hizo gari una uhakika ni zake kweli?

Alikuwa anazimiliki free and clear na titles anazo au alikuwa ana lease tu?

Na alikuwa bilionea wa currency gani?

Halafu bilioni unaijua au unaisikia tu?

Na hata angekuwa na gari 40 za dola laki nne kila moja, jumla yake haikaribii hata kidogo kwenye bilioni.

Bilioni si tarakimu ya kitoto kama mnavyoifanya iwe.
Usd 400k sindio 1Billion Tsh mkuu? Ila sjajua kwa pesa ya Zimbabwe au South Africa.
 
Thats my binamu [emoji7][emoji7][emoji3590][emoji3590], binamu kupenda sisi ni zaidi ya ndugu, achana na vijana hao watakusumbua tu, mtu serious tutamjua tu as long utakua unanishirikisha nitakuambia who real loves you, ila tupeane sisi mautamu kwanza lets love lead [emoji3590][emoji3590][emoji3590]....
Wee jamaa bana🤣🤣🤣🤣
 
Sasa mi itakuaje hakuna ninayempenda kwenye familia yangu[emoji23][emoji23]

Hyo mambo ya utajiri wa kafara nasikia pemba ndo yako , wanakuuliza kabisa unataka kuwaona au hutaki, rafiki yangu alitaka kuwaona , wakamwonyesha joka la ajabu, Lina sura ya kutisha sana Yan mfano wake hakuna, anatisha hata kuliko neno lenyewe kutisha, kichwa kama nusu mtu nusu nyoka na anamuonekano mbaya sana, anadai walimpaka dawa uson hili asizimie wala kufa kwa mshtuko

Mpaka kesho aligoma kusema ila Ali sema ni pemba
Unampenda mimi tu binamu si ndiyo, katika familia yetu hii,

ila binamu all in all pesa za giza watu wengi wanatumia sana dar, Arusha ndiyo usiseme zipo sana tu, kuna yule mwana dada wa Arusha alietoa siri ya mume wake kuwa ana utajiri wa kishirikina na ni baada ya mume wake kumwambia huyu dada kafara inayofuata ni wamtoe mtoto wao dah hapo yule dada akaona haiwezekani shida ikaanzia hapo na mwanadada huyo kumuanika mume wake kuwa anatumia giza kupata utajiri
 
Sasa mi itakuaje hakuna ninayempenda kwenye familia yangu[emoji23][emoji23]

Hyo mambo ya utajiri wa kafara nasikia pemba ndo yako , wanakuuliza kabisa unataka kuwaona au hutaki, rafiki yangu alitaka kuwaona , wakamwonyesha joka la ajabu, Lina sura ya kutisha sana Yan mfano wake hakuna, anatisha hata kuliko neno lenyewe kutisha, kichwa kama nusu mtu nusu nyoka na anamuonekano mbaya sana, anadai walimpaka dawa uson hili asizimie wala kufa kwa mshtuko

Mpaka kesho aligoma kusema ila Ali sema ni pemba
Hahahaa
I wish wangekuwepo hiyo family humu
Mbona wasingekuacha salama[emoji23][emoji23]
 
Wanaume wenyewe matapeli bora niolewe na binamu yangu mie nimpe utamu[emoji23][emoji23][emoji23]

Nimeona mazishi leo wala hakukua na hyo White’s kama alivyosema marehemu , watu wanalia balaa
Tulitegemea utuletee updates ziko wap sasa?
 
Yasemekana washikaji zake alikuwa akikutana nao ktk hii waloiita WHITE PARTY ambayo waliifanya Mara kwa Mara na haijulikani ilikuwa inawakilisha nini!
Screenshot_20201114-181130.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom