chrisbleez
JF-Expert Member
- Dec 28, 2016
- 752
- 1,239
Hata kwa mpalange ningempa, pesa anayo sura ndo usiseme
Mkuu naruhusiwa kuja pm
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata kwa mpalange ningempa, pesa anayo sura ndo usiseme
Joka la mikataba hilo mwenzio Ginimbi alikuwa na 10 years contract....Haaaaa Haaaaa 😂 joka linatema pesa,
Namimi nataka hilo joka linetemee pesa haaaa
Tatizo lako umeishi na bado unaishi uzunguniMambo ya mali zake ni habari zake.
Mi sijali.
Ila usiniambie eti kuna joka ndo litarithi 🤣.
Hakuna lolote.Tatizo lako umeishi na bado unaishi uzunguni
huwezi kuelewa haya mambo....
come back to the roots nigga....
utaona haya mambo!
Wakati usukumani kwenu mnayo! Wanaita 'ndago' ama mnaitaje?.Hakuna lolote.
Uchawi, ushirikina, majoka ya pesa, utajiri wa majini na mambo mengine kama hayo, ni maneno tu. Ni stori tu. Kiuhalisia, hayapo.
Tunayo nini? Uchawi au?Wakati usukumani kwenu mnayo! Wanaita 'ndago' ama mnaitaje?.
kuna chanel moja huko youtube watu wanaelezea mikasa waliyopitiaTunayo nini? Uchawi au?
Hata kama kuna Wasukuma waaminio katika hayo mambo, hiyo haifanyi yawepo.
Uchawi haupo.
Hata Gamboshi nishaenda na kuwaambia watu wa huko waniroge nipate hata Malaria tu.
Wanaishia kutoa visingizio badala ya kunithibitishia kuwa kweli upo.
Ni imani isiyo na uhalisia wowote ule.
Unampenda mimi tu binamu si ndiyo, katika familia yetu hii,
ila binamu all in all pesa za giza watu wengi wanatumia sana dar, Arusha ndiyo usiseme zipo sana tu, kuna yule mwana dada wa Arusha alietoa siri ya mume wake kuwa ana utajiri wa kishirikina na ni baada ya mume wake kumwambia huyu dada kafara inayofuata ni wamtoe mtoto wao dah hapo yule dada akaona haiwezekani shida ikaanzia hapo na mwanadada huyo kumuanika mume wake kuwa anatumia giza kupata utajiri
Hahaaa sawa cousin.Ni majini binamu sio nyoka wa kawaida
Mikasa gani? Ya kichawi?kuna chanel moja huko youtube watu wanaelezea mikasa waliyopitia
Hahaaa sawa cousin.
Ila mimi hayo majini naamini hayapo.
Wanasema pesa,nyumba na magari vinapita.Kauli za watu masikini hizi...
mara hoo! dunia tunapita......!!!
mara hoo hata uwe na hela vp utakufa....
kwani nani hajui hizi reality
tafuteni hela na mle bata kisawa sawa sh.enz type...
manake ukikaa kizembe unaweza kujikuta duniani unapigika......
na motoni unaingia vile vile....
what a loss....
Ila alikuwa na ndoto kubwa sana, he inspired me a lot through his insta posts. Amekufa na ndoto zake. Mola amrehemu mwamba huyo aliyevuma kutokea efmTatizo bikra wa kisukuma alikua hana hela, apumzike kwa amani
Ananua mahindi kwenye gunia lenye lumbesa kubwa anagawa kilo za serikali anauza...yeye ananua magunia bila kupima anauza yaliyopimwaSasa huyo anayenunua gunia kwa 70,000 na kuuza kwa 42,000 ANAPATA wapi faida yake?
...Wao wanayapataje??Sema tu you chose not to believe, ila zipo sana , haswa haswa huko Zimbabwe, Mozambique na South Africa , wafanyabiashara wengi wanafanya ushirikina wa kutisha kwa ajili ya kupata utajiri na kujilinda na biashara zao haramu.
Joka ninalolizungumzia hapa ni yule ibilisi aliyampeleka Yesu mlimani na kumwambia endapo akimuabudu basi atampa utajiri wote wa duniani.
Niliwah kuambiwa hayo majoka yanatisha vibaya mno , hayafai kutazamwa na macho ya kawaida kwan unaweza pata presha ukafa, sio majoka haya tunayoyaona Mitaani, ni yule joka mkuu wa anga hili, mmliki wa Dunia , baba yetu