Tetesi: Kifo cha ginimbi, mazito yaibuka...

Tetesi: Kifo cha ginimbi, mazito yaibuka...

Mambo ya mali zake ni habari zake.

Mi sijali.

Ila usiniambie eti kuna joka ndo litarithi 🤣.
Tatizo lako umeishi na bado unaishi uzunguni
huwezi kuelewa haya mambo....
come back to the roots nigga....
utaona haya mambo!
 
Tatizo lako umeishi na bado unaishi uzunguni
huwezi kuelewa haya mambo....
come back to the roots nigga....
utaona haya mambo!
Hakuna lolote.

Uchawi, ushirikina, majoka ya pesa, utajiri wa majini na mambo mengine kama hayo, ni maneno tu. Ni stori tu. Kiuhalisia, hayapo.
 
Wakati usukumani kwenu mnayo! Wanaita 'ndago' ama mnaitaje?.
Tunayo nini? Uchawi au?

Hata kama kuna Wasukuma waaminio katika hayo mambo, hiyo haifanyi yawepo.

Uchawi haupo.

Hata Gamboshi nishaenda na kuwaambia watu wa huko waniroge nipate hata Malaria tu.

Wanaishia kutoa visingizio badala ya kunithibitishia kuwa kweli upo.

Ni imani isiyo na uhalisia wowote ule.
 
Tunayo nini? Uchawi au?

Hata kama kuna Wasukuma waaminio katika hayo mambo, hiyo haifanyi yawepo.

Uchawi haupo.

Hata Gamboshi nishaenda na kuwaambia watu wa huko waniroge nipate hata Malaria tu.

Wanaishia kutoa visingizio badala ya kunithibitishia kuwa kweli upo.

Ni imani isiyo na uhalisia wowote ule.
kuna chanel moja huko youtube watu wanaelezea mikasa waliyopitia
 
Inawezekana zisiwe halali.

Lakini habari za kwamba kuna majoka yanatema hela, hizo ni fiksi.

Hayo majoka huwa yanazitengeneza hizo hela tumboni halafu ndo yanazitema?

[emoji1787][emoji1787]

Ni majini binamu sio nyoka wa kawaida
 
Unampenda mimi tu binamu si ndiyo, katika familia yetu hii,

ila binamu all in all pesa za giza watu wengi wanatumia sana dar, Arusha ndiyo usiseme zipo sana tu, kuna yule mwana dada wa Arusha alietoa siri ya mume wake kuwa ana utajiri wa kishirikina na ni baada ya mume wake kumwambia huyu dada kafara inayofuata ni wamtoe mtoto wao dah hapo yule dada akaona haiwezekani shida ikaanzia hapo na mwanadada huyo kumuanika mume wake kuwa anatumia giza kupata utajiri

Binamu yabgu tu ndo nakuhusudu nipo radhi nikupe tunda la kati kati ujilie vyako binam wangu handsome boy[emoji16]

Yah huo mkasa wa Jamaa wa Arusha nadhan hata hymu JF upo sana na ilitikisa sana baada ya picha kuvuja wakiwa kwa mganga , watu bado hawaamini

Unajua binamu kuna familia nyingine wamebarikiwa, kila kitu kwao wanapata kiurahisi Ndio maana inakua vigumu kuamini upande wa pili. Wamshukuru tu Mungu wao aliowapa wao mafanikio na kutunyima akina sie ambao mambo hayaendi mpaka upitie mlango wa pili

Watu wengi bado niwachovu kiroho bado hawajaujua ulimwengu vizur
 
kuna chanel moja huko youtube watu wanaelezea mikasa waliyopitia
Mikasa gani? Ya kichawi?

Wengi wanaoelezeaga mikasa ya kichawi huwa ni wagonjwa wa akili.

Kuwa mgonjwa wa akili si lazima uwe kichaa wa kuokota makopo.

Kuna magonjwa kabisa ya akili [brain disorders] ambayo husababisha watu waone vitu ambavyo havipo.

Huku kwetu, kwa sababu kisayansi hatujaendelea sana, tunaishia kusema ni uchawi. Kumbe mtu anasumbuliwa na matatizo ya kiakili tu.
 
Hahaaa sawa cousin.

Ila mimi hayo majini naamini hayapo.

Sasa hapo tunazungumzia habar nyingine , I’m glad to know kuwa huamin, endelea tu kusoma maoni ya wale wanaoamini na waliyashuhudia upate kusoma mikasa ya kusisimua inayotokea kwenye ulimwengu huu huu
 
Kauli za watu masikini hizi...
mara hoo! dunia tunapita......!!!
mara hoo hata uwe na hela vp utakufa....
kwani nani hajui hizi reality
tafuteni hela na mle bata kisawa sawa sh.enz type...
manake ukikaa kizembe unaweza kujikuta duniani unapigika......
na motoni unaingia vile vile....
what a loss....
Wanasema pesa,nyumba na magari vinapita.

Ila Mimi nasema hakikisha vinapitia kwako
 
Sasa huyo anayenunua gunia kwa 70,000 na kuuza kwa 42,000 ANAPATA wapi faida yake?
Ananua mahindi kwenye gunia lenye lumbesa kubwa anagawa kilo za serikali anauza...yeye ananua magunia bila kupima anauza yaliyopimwa
 
Sema tu you chose not to believe, ila zipo sana , haswa haswa huko Zimbabwe, Mozambique na South Africa , wafanyabiashara wengi wanafanya ushirikina wa kutisha kwa ajili ya kupata utajiri na kujilinda na biashara zao haramu.

Joka ninalolizungumzia hapa ni yule ibilisi aliyampeleka Yesu mlimani na kumwambia endapo akimuabudu basi atampa utajiri wote wa duniani.

Niliwah kuambiwa hayo majoka yanatisha vibaya mno , hayafai kutazamwa na macho ya kawaida kwan unaweza pata presha ukafa, sio majoka haya tunayoyaona Mitaani, ni yule joka mkuu wa anga hili, mmliki wa Dunia , baba yetu
...Wao wanayapataje??
 
Back
Top Bottom