mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Inawezekana zisiwe halali.
Lakini habari za kwamba kuna majoka yanatema hela, hizo ni fiksi.
Hayo majoka huwa yanazitengeneza hizo hela tumboni halafu ndo yanazitema?
[emoji1787][emoji1787]
Hiyo inaweza ikawa ni zuga tu ili aweze kutakatisha fedha zilizopatikana kwa njia haramu.Sasa huyo anayenunua gunia kwa 70,000 na kuuza kwa 42,000 ANAPATA wapi faida yake?
Hiyo inaweza ikawa ni zuga tu ili aweze kutakatisha fedha zilizopatikana kwa njia haramu.
Hivi fred nae ni mkingaNilitaka kusema kafanana na Fred vunja bei
Mkuu unarudi palepale Ila tuyaacheHayapo. Kama yapo, thibitisha.
Jiwe ndo nani?Mkuu unarudi palepale Ila tuyaache
Nje ya mada;
Unaweza dhibitisha kuwa Jiwe alishinda?
Hahahaha tapeli wetu sie tunaemwaminia Tanzania [emoji1241] ni dude juzi Kati alipata ajari ya boda boda unakuwaje tapeli unapata ajari soo cheap matapeli wa mbele wapo smart hao hata kutoka nje Wana check uwezekano wa mvua kunyesha kwenye utabiri wa Hali ya hewaUtapeli wa level zake huwez kuufanya bila kushirikiana na nguvu za Giza binamu
Ingawa marehemu alikua ni msomi mzuri tu , alikua na masters ya business administration, sasa wenzangu na mie mnataka kuwa kama ginimbi hata certificate hamna
Uzuri matapel wa nchi za wenzetu wako smart sana kichwan , wanatapel had wazungu wenye elimu zao za juu sio bongo hapa, hata kiingereza kuongea shida Sijui wanamtapel nani
Usd 400k sindio 1Billion Tsh mkuu? Ila sjajua kwa pesa ya Zimbabwe au South Africa.Hizo gari una uhakika ni zake kweli?
Alikuwa anazimiliki free and clear na titles anazo au alikuwa ana lease tu?
Na alikuwa bilionea wa currency gani?
Halafu bilioni unaijua au unaisikia tu?
Na hata angekuwa na gari 40 za dola laki nne kila moja, jumla yake haikaribii hata kidogo kwenye bilioni.
Bilioni si tarakimu ya kitoto kama mnavyoifanya iwe.
Ni bilioni kwa exchange rate ipi?Usd 400k sindio 1Billion Tsh mkuu? Ila sjajua kwa pesa ya Zimbabwe au South Africa.
Wee jamaa bana🤣🤣🤣🤣Thats my binamu [emoji7][emoji7][emoji3590][emoji3590], binamu kupenda sisi ni zaidi ya ndugu, achana na vijana hao watakusumbua tu, mtu serious tutamjua tu as long utakua unanishirikisha nitakuambia who real loves you, ila tupeane sisi mautamu kwanza lets love lead [emoji3590][emoji3590][emoji3590]....
Kwa tsh 2300×400 unapata ngap hapo? Nazungumzia kwa TSH. Kwa currencies zingine sijuiNi bilioni kwa exchange rate ipi?
Na ni bilionea wa currency gani?
Huyu hajui mwache abishe.Utajiri wa kichawi upo.
Usione watu wanakuja vizuri,wanalala pazuri,wanaendesha magari makali ukatamani.mengine Ni masharti
Unampenda mimi tu binamu si ndiyo, katika familia yetu hii,Sasa mi itakuaje hakuna ninayempenda kwenye familia yangu[emoji23][emoji23]
Hyo mambo ya utajiri wa kafara nasikia pemba ndo yako , wanakuuliza kabisa unataka kuwaona au hutaki, rafiki yangu alitaka kuwaona , wakamwonyesha joka la ajabu, Lina sura ya kutisha sana Yan mfano wake hakuna, anatisha hata kuliko neno lenyewe kutisha, kichwa kama nusu mtu nusu nyoka na anamuonekano mbaya sana, anadai walimpaka dawa uson hili asizimie wala kufa kwa mshtuko
Mpaka kesho aligoma kusema ila Ali sema ni pemba
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Mapenzi ni upofuWee jamaa bana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Pambana hapo mkuu ..chukua binamu uyo😀😀😀[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Mapenzi ni upofu
HahahaaSasa mi itakuaje hakuna ninayempenda kwenye familia yangu[emoji23][emoji23]
Hyo mambo ya utajiri wa kafara nasikia pemba ndo yako , wanakuuliza kabisa unataka kuwaona au hutaki, rafiki yangu alitaka kuwaona , wakamwonyesha joka la ajabu, Lina sura ya kutisha sana Yan mfano wake hakuna, anatisha hata kuliko neno lenyewe kutisha, kichwa kama nusu mtu nusu nyoka na anamuonekano mbaya sana, anadai walimpaka dawa uson hili asizimie wala kufa kwa mshtuko
Mpaka kesho aligoma kusema ila Ali sema ni pemba
Tulitegemea utuletee updates ziko wap sasa?Wanaume wenyewe matapeli bora niolewe na binamu yangu mie nimpe utamu[emoji23][emoji23][emoji23]
Nimeona mazishi leo wala hakukua na hyo White’s kama alivyosema marehemu , watu wanalia balaa