Tetesi: Kifo cha ginimbi, mazito yaibuka...


Sema tu you chose not to believe, ila zipo sana , haswa haswa huko Zimbabwe, Mozambique na South Africa , wafanyabiashara wengi wanafanya ushirikina wa kutisha kwa ajili ya kupata utajiri na kujilinda na biashara zao haramu.

Joka ninalolizungumzia hapa ni yule ibilisi aliyampeleka Yesu mlimani na kumwambia endapo akimuabudu basi atampa utajiri wote wa duniani.

Niliwah kuambiwa hayo majoka yanatisha vibaya mno , hayafai kutazamwa na macho ya kawaida kwan unaweza pata presha ukafa, sio majoka haya tunayoyaona Mitaani, ni yule joka mkuu wa anga hili, mmliki wa Dunia , baba yetu
 
Hahahaaa.

See, ni stori tu hizo.

Kama siyo stori tu, watu wanithibitishie kweli kuwa joka linaweza kumpa mtu hela!

Ni stori tu hizo. Na ndo maana hata wewe umeishia kusema uliwahi “kuambiwa”.
 
Hahahaaa.

See, ni stori tu hizo.

Kama siyo stori tu, watu wanithibitishie kweli kuwa joka linaweza kumpa mtu hela!

Ni stori tu hizo. Na ndo maana hata wewe umeishia kusema uliwahi “kuambiwa”.

Ni jini ambaye anakua na umbo la nyoka , ila sio nyoka hawa wa kawaida , inshort ni majini tuseme
 
Hilo joka limeajiriwa wapi mpaka linapata pesa za kumpa huyo ginimbi mabilioni 😀
 
Shetani Hana kitu cha bure imekula kwake
 
Hahahaaa.

See, ni stori tu hizo.

Kama siyo stori tu, watu wanithibitishie kweli kuwa joka linaweza kumpa mtu hela!

Ni stori tu hizo. Na ndo maana hata wewe umeishia kusema uliwahi “kuambiwa”.

mi mwenyewe pia ninashindwa kuamini, kama hayo majoka yanafyatua (yanatoa) pesa, yanazitoa wapi?

imagine joka moja linakufyatulia bilion 300 unaziingiza kwenye mzunguko

na wengine wakafyatuliwa wakaziingiza kwnye mzunguko wa fedha.. mbona italeta inflation ya hatari sana!

ni sawa na BOT wakafyatua pesa nyingi waziingize kwenye mzunguko
 

Ni majini mkuu ambayo hupendelea kuwa kwenye umbo la nyoka ... nadhan hapo utakua umeeelewa kidogo
 
Hilo joka kwa sasa lipo wapi?
Tunaweza kupata picha ya hilo joka, hasa wakati likimpa pesa?!
Halafu kama kuna uwezekano wa kulipata, ninalihitaji nina kazi nalo...

Hahaaa umenifurahisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…