Tetesi: Kifo cha ginimbi, mazito yaibuka...

Chai
 
Nnacho ona unawaza kisayansi ya kizungu, wkt hii story ina sayansi ya giza utachanganyikiwa
 
Dunia tunapita, play humble 🙄
Kauli za watu masikini hizi...
mara hoo! dunia tunapita......!!!
mara hoo hata uwe na hela vp utakufa....
kwani nani hajui hizi reality
tafuteni hela na mle bata kisawa sawa sh.enz type...
manake ukikaa kizembe unaweza kujikuta duniani unapigika......
na motoni unaingia vile vile....
what a loss....
 
We bwana w kama mtu ana gari zaidi ya ishirini ambazo bei zake kwa kila moja sio chini ama zinakaribiana na dola laki nne kwanini asiwe bilionea kuwa na adabu....
 
RIP Ginimbi. Huyu Kijana alikuwa mtafutaji na Mpiganaji dhidi ya Umaskini. Alihustle huku na kule na akajaliwa kupata vya haja ya Moyo wake. Akavifurahia na kutuonesha Mafanikio yake. Akavitumia Kwa Raha zake na Wenzie wa Standard yake. Alijua kuvaa akapendeza Nguo na Viatu Kwa Style yake. Jumba la Kifahari. Mmiliki wa Company na Mengineyo ndani ya only 36 years. Alizaliwa 1984 school drop out.
Utajiri siyo Uchawi wala Majoka bcoz Wachawi nao Wangekuwa Matajiri. Zimbabwe na South Africa kuna Madini ya Almasi ukiwa smart na connection waweza kujihusisha na Business yake ya Halali au panya route ukajipatia Midola ya kutosha. Wenzetu wanatumia fursa na wamefanikiwa not Uchawi. Kafa Kifo cha Hadi yake kama Wengine. Alikuwa anaendesha Gari amelewa na alitoka kustarehe huko Club. Ni kama alivyokufa James Dandu
 
Very true
 
Sasa warumi kama unapenda pesa na unasema tetesi ni kwamba jamaa alikua na joka si uende ukalichukue nawewe uwe billionaire???

Vinginevyo namie naungana na mwamba Nyani Ngabu kwamba hizi ni changamsha genge tu.

Kama joka lilikua lina sababisha ukwasi wote huo inamaana biashara za kusambaza gas ilikua ni hadaa na hiyo pesa inachanganywa na zinazoletwa na joka au hizo ni miamala tofauti?
 
Kumbe nchi kuwekewa vikwazo vya kiuchumi ni hatari sana?
 
Utajiri wa ki diamond diamond huu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…