Tetesi: Kifo cha ginimbi, mazito yaibuka...

Tetesi: Kifo cha ginimbi, mazito yaibuka...

RIP Ginimbi. Huyu Kijana alikuwa mtafutaji na Mpiganaji dhidi ya Umaskini. Alihustle huku na kule na akajaliwa kupata vya haja ya Moyo wake. Akavifurahia na kutuonesha Mafanikio yake. Akavitumia Kwa Raha zake na Wenzie wa Standard yake. Alijua kuvaa akapendeza Nguo na Viatu Kwa Style yake. Jumba la Kifahari. Mmiliki wa Company na Mengineyo ndani ya only 36 years. Alizaliwa 1984 school drop out.
Utajiri siyo Uchawi wala Majoka bcoz Wachawi nao Wangekuwa Matajiri. Zimbabwe na South Africa kuna Madini ya Almasi ukiwa smart na connection waweza kujihusisha na Business yake ya Halali au panya route ukajipatia Midola ya kutosha. Wenzetu wanatumia fursa na wamefanikiwa not Uchawi. Kafa Kifo cha Hadi yake kama Wengine. Alikuwa anaendesha Gari amelewa na alitoka kustarehe huko Club. Ni kama alivyokufa James Dandu
Nisawasawa na watu wanavyo wasema wakinga ila hawajui wanakotoka wamewekeza kwenye misitu ile mbaya
 
Yasemekana washikaji zake alikuwa akikutana nao ktk hii waloiita WHITE PARTY ambayo waliifanya Mara kwa Mara na haijulikani ilikuwa inawakilisha nini!View attachment 1626439

Sent using Jamii Forums mobile app
Fala Tu huyu mwamba hana lolote , amekufa kipimbi Sana , naskia hata mama yake alimshusha ahera kizembe zembe Sana , haya walimwengu wamemsifu , amepata nin asa ....mara magar yake yanaungua Tu Moto sa hv randomly ...aaaah kifo kwel kitatukuta wote lakn cha kujihakikishia hv Mimi hamna ,....
 
RIP Ginimbi. Huyu Kijana alikuwa mtafutaji na Mpiganaji dhidi ya Umaskini. Alihustle huku na kule na akajaliwa kupata vya haja ya Moyo wake. Akavifurahia na kutuonesha Mafanikio yake. Akavitumia Kwa Raha zake na Wenzie wa Standard yake. Alijua kuvaa akapendeza Nguo na Viatu Kwa Style yake. Jumba la Kifahari. Mmiliki wa Company na Mengineyo ndani ya only 36 years. Alizaliwa 1984 school drop out.
Utajiri siyo Uchawi wala Majoka bcoz Wachawi nao Wangekuwa Matajiri. Zimbabwe na South Africa kuna Madini ya Almasi ukiwa smart na connection waweza kujihusisha na Business yake ya Halali au panya route ukajipatia Midola ya kutosha. Wenzetu wanatumia fursa na wamefanikiwa not Uchawi. Kafa Kifo cha Hadi yake kama Wengine. Alikuwa anaendesha Gari amelewa na alitoka kustarehe huko Club. Ni kama alivyokufa James Dandu
Mkuu comment yako imenibariki sana
 
Hilo joka kwa sasa lipo wapi?
Tunaweza kupata picha ya hilo joka, hasa wakati likimpa pesa?!
Halafu kama kuna uwezekano wa kulipata, ninalihitaji nina kazi nalo...
Count on me Mkuu 😂
 
Tupac wa bongo alikuwepo pia almas wa bongo yupo sasa tutarajie mtu kufananshwa kisura na ndugu kidungure awe maarufu ghafla aah akili zetu wengi wetu watanzania tunazijua wenyewe.
 
Nisawasawa na watu wanavyo wasema wakinga ila hawajui wanakotoka wamewekeza kwenye misitu ile mbaya
Kama alivyokuwa anasema mwenyewe ukiwa Maskini nobody asks or finds why you are Poor. Ukitajirika tuuu kila mtu atataka kujua Source ya Utajiri Wako. Mara Freemason oh pesa za kafara oh pesa za Majoka ohho pesa za Majini. Ifike mahali tufurahie Mafanikio ya Wenzetu Kwa kuappreciate Juhudi zao na mahangaiko.
Laizer wa Mererani amechimba na kuwekeza mgodini miaka Nenda Rudi bila kukukuta tamaa. Hatimaye amepata Jose la bilions
 
Kuna mwingine tajiri anaingiliwa na jini kila ijumaa.hata Kama ni mwanaume .

Kuna kipindi Kimoja hiv kiko you tube, kinaelezea mikasa ya majini ya ushirikina, watu wana mikasa ya kusisimua had unabaki kushangaa

Wasioamin waendelee kutoamini na washukuru Mungu kawaepusha na hiko kikombe cha mabalaa
 
Kutokana na kifo cha utata cha mfanyabiashara Billionare kutoka pande za Zimbabwe, Genius ginimbi, Habari za chini ya Kapeti zinadai, Tajiri huyo alikua anafuga joka kubwa sana nyumbani kwake, ambalo Ndilo lililokua likimpatia pesa za kutosha, ambapo Ginimbi alikua akibadilishana nae kwa Damu za binadamu..

Either rafiki wa Karibu na ginimbi anasema . Haina haja ya kupekua kuwa marehemu alikua anafanya biashara gani kama wangetaka ukweli wangemuuliza wakati yupo hai na si sasa wakati amefariki..

Either ginimbi atazikwa jumamosi hii na maburungutu ya dollars za kutosha kwenye kaburi lake View attachment 1625023
View attachment 1625024
View attachment 1625025
View attachment 1625027
Afrika kila utajiri lazima atajwe shetani nyuma yake
 
Uuze nafsi yako kwa shetani au usiuze kifo ni lazima, ukishakua mkubwa na kukomaa kiakili utaelewa nini maana ya maisha na utaacha kuhukumu wengine
Mkuu hyo mitego nishapita ndug , nothing new kwangu hapo , but it is the https://jamii.app/JFUserGuide-ing shit to do so....!!
 
Mkuu hyo mitego nishapita ndug , nothing new kwangu hapo , but it is the ****-ing shit to do so....!!

Unasema hivyo sababu hujanusa harufu ya umaskin bado , hongera zako

Umaskini unanuka vibaya mno, umaskini unakufanya hata ndug wa Damu akudharau
 
Back
Top Bottom