mdukuzi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 20,925
- 51,688
Tunaambiwa Hayati Magufuli alikuwa na tatizo la moyo,na tunafahamu kila ugonjwa una Masharti yake,sidhani kama mgonjwa wa moyo anatakiwa kubehave kama alivyobehave Hayati Magufuli.
Ningekuwa mimi baada ya kuchuma pesa za kuwa waziri kwa miaka yote zaidi ya ishirini
ningeachana na siasa nikaishi maisha ya wastaafu yasiyo na stress
Au ningekaimisha madaraka ya urais kwa wasaidizi wangu wakuu nikiwa zangu Chato na remote tu,kazi yangu ingekuwa ni kutumbua na kuteua nikiwa kwenye swimming pool.
Sasa kwa ugonjwa ule kutaka kuwa one man show mwisho wake lazima ufe tu maana nchi hii ina wahuni wengi sana
Kuna siku alikuwa anahutubia akawa anaeleza uozo wa taasisi fulani yaani unamuona amepatwa na hasira mpaka kuhema anahemea juu juu.
Narudia nchi ina wahuni hii hawachelewi kukuua kwa presha