Kifo cha hayati Magufuli kilikuwa cha kujitakia?

Acha kabisa. Halafu kuna vichaa 2020 walikua wanapiga kelele "Mzalendo, Jiwe, Aongezewe Muda, Aongozewe Muda". Basi kila akisifiwa ndio akawa anazidisha aisee. Sheenz Kabisa!

Wakawa wanajitoa ufahamu jinsi raia walivokua wanaingiliwa mpaka uhuru wao wa kufanya starehe na maisha yao. Mara baa na kumbi za starehe (Hata kama kumbi za harusi) mwisho saa 6, mara mitandao ya kijamii ifungwe, mara internet ishushwe 2G, mara bando zipandishwe mara mbili bei n.k

Yaani raia tulikua tunapelekwa kama watoto wa chekechea! Amani ya moyo ilitoweka, mtu hujui kesho yako utaishia kolokoloni mahabusu au utakula ya uhujumu uchumi!
Hatari sn
 
Mkuu mdukuzi hivi unavikumbuka vigezo vya kugombea uraisi kaka ?

Je jamaa alikuwa navyo ? Hali yangu ya afya si nzuri naenda South kesho kutwa ila nakuhaidi kukueleza kuwa mzee Lowasa anaendeleaje maana ni jana mwanaye wa kwanza alimuuliza mchungaji wao wa ng'ombe huko machungani ya kuwa je wapo ng'ombe wangapi mpaka sasa ?

Sasa sijui kwanini kauliza idadi sasa hivi ikiwa mimi naona mzee wetu bado yupo kuipambania afya .

Nikirejea niulize habari za mzee wetu nitakueleza na picha juu ila za yule jamaa huko chattle sitaki kujua lolote cha yule bwana wala ukoo wake maana Mungu alishatuamulia .
Ahaa haya bwana nasubiri kwa hamu urejee salama na Mungu akuponye
 
Mtoa post chuki zako zitakuua pia huwezi kusema mpango ya Mungu inazidiwa na mwanadamu

huna maana
 
Acha kabisa. Halafu kuna vichaa 2020, baada ya wizi wa kura, walikua wanapiga kelele "Mzalendo, Jiwe, Aongezewe Muda, Kiongozi wa Malaika, Aongozewe Muda". Basi kila akisifiwa ndio akawa anazidisha aisee. Sheenz Kabisa!
Wakawa wanajitoa ufahamu jinsi raia walivokua wanaingiliwa mpaka uhuru wao wa kufanya starehe na maisha yao. Mara baa na kumbi za starehe (Hata kama kumbi za harusi) mwisho saa 6, mara mitandao ya kijamii ifungwe, mara internet ishushwe 2G, mara bando zipandishwe mara mbili bei n.k
Yaani raia tulikua tunapelekwa kama watoto wa chekechea! Amani ya moyo ilitoweka, mtu hujui kesho yako utaishia kolokoloni mahabusu au utakula ya uhujumu uchumi!
 
Tunaambiwa Hayati Magufuli alikuwa na tatizo la moyo,na tunafahamu kila ugonjwa una Masharti yake,sidhani kama mgonjwa wa moyo anatakiwa kubehave kama alivyobehave Hayati Magufuli.

Ningekuwa mimi baada ya kuchuma pesa za kuwa waziri kwa miaka yote zaidi ya ishirini
ningeachana na siasa nikaishi maisha ya wastaafu yasiyo na stress

Au ningekaimisha madaraka ya urais kwa wasaidizi wangu wakuu nikiwa zangu Chato na remote tu,kazi yangu ingekuwa ni kutumbua na kuteua nikiwa kwenye swimming pool.

Sasa kwa ugonjwa ule kutaka kuwa one man show mwisho wake lazima ufe tu maana nchi hii ina wahuni wengi sana

Kuna siku alikuwa anahutubia akawa anaeleza uozo wa taasisi fulani yaani unamuona amepatwa na hasira mpaka kuhema anahemea juu juu.

Narudia nchi ina wahuni hii hawachelewi kukuua kwa presha
Bado tu unakumbuka kheee.
 
Ok
 
Back
Top Bottom