Kifo cha hayati Magufuli kilikuwa cha kujitakia?

watu walishazoea uovu ghafla tu uwazuie,watatafutia Kila njia ili upishe,baada ya kubana akajenga Dom,reli,stigira,hospitali Kila Kanda,Kila wilaya,masoko,huko nyuma tuliambiwa uchumi hauruhusu,RIP Mwamba umeipeleka nchi hii hatua kubwa sana Kwa muda mfupi sana,kama nchi tumedhulmika sana.
Hatari sn
 
Wakati mwingine najiuliza kama inawezekana kuzima heart pacemaker (betri ya moyo) kwa kutumia remote device.
Ukiwekewa kifaa hiki busara ni kupumzika na kuishi bila misongo.
 
Tunaambiwa Hayati Magufuli alikuwa na tatizo la moyo,na tunafahamu kila ugonjwa una Masharti yake,sidhani kama mgonjwa wa moyo anatakiwa kubehave kama alivyobehave Hayati Magufuli.

Ningekuwa mimi baada ya kuchuma pesa za kuwa waziri kwa miaka yote zaidi ya ishirini
ningeachana na siasa nikaishi maisha ya wastaafu yasiyo na stress

Au ningekaimisha madaraka ya urais kwa wasaidizi wangu wakuu nikiwa zangu Chato na remote tu,kazi yangu ingekuwa ni kutumbua na kuteua nikiwa kwenye swimming pool.

Sasa kwa ugonjwa ule kutaka kuwa one man show mwisho wake lazima ufe tu maana nchi hii ina wahuni wengi sana

Kuna siku alikuwa anahutubia akawa anaeleza uozo wa taasisi fulani yaani unamuona amepatwa na hasira mpaka kuhema anahemea juu juu.

Narudia nchi ina wahuni hii hawachelewi kukuua kwa presha
Na yeye alikuwa miongoni mwa wahuni wa nchi hii pia.

Mungu kaamua ugovi.
 
Wakati mwingine najiuliza kama inawezekana kuzima heart pacemaker (betri ya moyo) kwa kutumia remote device.
Ukiwekewa kifaa hiki busara ni kupumzika na kuishi bila misongo.
Kama Israel wameweza kulipua watu kutumia simu zao za mkononi,pager,hakuna kinachoshindikana
 
Tunaambiwa Hayati Magufuli alikuwa na tatizo la moyo,na tunafahamu kila ugonjwa una Masharti yake,sidhani kama mgonjwa wa moyo anatakiwa kubehave kama alivyobehave Hayati Magufuli.

Ningekuwa mimi baada ya kuchuma pesa za kuwa waziri kwa miaka yote zaidi ya ishirini
ningeachana na siasa nikaishi maisha ya wastaafu yasiyo na stress

Au ningekaimisha madaraka ya urais kwa wasaidizi wangu wakuu nikiwa zangu Chato na remote tu,kazi yangu ingekuwa ni kutumbua na kuteua nikiwa kwenye swimming pool.

Sasa kwa ugonjwa ule kutaka kuwa one man show mwisho wake lazima ufe tu maana nchi hii ina wahuni wengi sana

Kuna siku alikuwa anahutubia akawa anaeleza uozo wa taasisi fulani yaani unamuona amepatwa na hasira mpaka kuhema anahemea juu juu.

Narudia nchi ina wahuni hii hawachelewi kukuua kwa presha
🤣🤣
 
Watu wameongea sana huku kuhusu tabia za hovyo na kikatili kuhusu yule mzee.

Leo matendo yake ya kuuwa watu kwa mikono yake yanaanza kusemwa watu wanatoka mapovu humu. Kweli ujinga kipaji kwa Watanzania
 
Wanaotoka mapovu watuonyeshe alipo Ben
 
Tunaambiwa Hayati Magufuli alikuwa na tatizo la moyo,na tunafahamu kila ugonjwa una Masharti yake,sidhani kama mgonjwa wa moyo anatakiwa kubehave kama alivyobehave Hayati Magufuli.

Ningekuwa mimi baada ya kuchuma pesa za kuwa waziri kwa miaka yote zaidi ya ishirini
ningeachana na siasa nikaishi maisha ya wastaafu yasiyo na stress

Au ningekaimisha madaraka ya urais kwa wasaidizi wangu wakuu nikiwa zangu Chato na remote tu,kazi yangu ingekuwa ni kutumbua na kuteua nikiwa kwenye swimming pool.

Sasa kwa ugonjwa ule kutaka kuwa one man show mwisho wake lazima ufe tu maana nchi hii ina wahuni wengi sana

Kuna siku alikuwa anahutubia akawa anaeleza uozo wa taasisi fulani yaani unamuona amepatwa na hasira mpaka kuhema anahemea juu juu.

Narudia nchi ina wahuni hii hawachelewi kukuua kwa presha
Kuna habari kwamba Magufuli aliamua kuacha siasa na kurudi Chato kustaafu, ila figisu za kambi za CCM zilipokosa usuluhishi, wengine wakamwaga ugali, wengine wakamwaga mboga, Magufuli akafuatwa na kuombwa agombee.
 
Back
Top Bottom