Kifo cha Hayati Magufuli kilivyosababisha Stevev Makigo bosi wa Mayanga Construction azimie mara tatu

SAWA.
Ila picha iliyojengeka kuhusu ule uwanja, ilinipa makisio ya juu zaidi kuliko hiyo bilioni 53 unayoeleza hapa.
Kuhusu jengo ule uwanja hauna jengo la maana ni kajumba tu ka kawaida sana,to my suprise wakakaita mfugale tower wakati sio ghorofa
Uwanja kuwa international wanaangalia urefu wa running way kama unakidhi ndege kubwa na pia kuwa na facilities za kupokea ndege toka nje ya nchi moja kwa moja,Chato hata Bidden ndege yake inatua,
 
Labda ndogo ndogo kwenye halmashauri,kumwaga molam barabarani na kuziba viraka vya lami iliyoharibika
Kuna la kujadili hapa.
Kama kampuni haikuwa inajihusisha na makosa, kwa nini isipewe tenda kama uwezo/ufundi inao?

Hii ni kampuni ya kiTanzania, inaajiri waTanzania. Inatakiwa kujengewa uwezo zaidi.

Yasije yakawa yale yale ya kivuko cha Magogoni kupewa tenda kampuni ya nje na kuwaacha Songoro kwenye mataa bila ya sababu zinazoeleweka.
 
Billion 53 pesa za walipa kodi ni pesa kidogo?!
 
Hakuna uwiano kabisa katika haya mawili unayoyasema hapa.
Kama 'runway' inakidhi kiwango cha ndege kubwa kutua; halafu pasiwepo na 'adequate' "facilities" za kuhudumia hayo mandege makubwa; maana ya kujenga 'runway' hiyo ipo wapi sasa?
 
Facilities sio jengo tu,facilities zipo
 
Binafsi nimemshanga kuona bulion 53 siyo kitu mm tu milion 500 Ni pesa nyingi mno

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Unatumia akili ya kijijini ndiyo maana.
Huna picha ya kukuwezesha kujenga uwiano na kitu kinachozungumziwa hapa; uwanja wa ndege wa kimataifa.
Ninaelewa sana kwamba maelezo haya bado yatakupa shida kuyaelewa.
 
Picha gani ilijengeka kuhusu huo uwanja zaidi ya kwamba ulijengwa kama Gbadolite tu bila kuwa na manufaa yoyote ya kiuchumi?!
Usipoteze 'context'; picha iliyojengeka kuhusu uwanja huo.
Hata Tsh 1000 ya kodi za wananchi ni pesa kubwa sana kuchezewa.
 
Mmmh
Naona kama kulikuwa na mchezo wa back to back uliotekelezwa kiustadi na watu kaliba ya Bashite to GSM
 
Maweee!

Makonda yeye anagombania viwanja, alipewa hati za viwanja vya kudhulumu azitunze. Majuzi alitifuana na GSM
 
Hakuna uwiano kabisa katika haya mawili unayoyasema hapa.
Kama 'runway' inakidhi kiwango cha ndege kubwa kutua; halafu pasiwepo na 'adequate' "facilities" za kuhudumia hayo mandege makubwa; maana ya kujenga 'runway' hiyo ipo wapi sasa?
Ule uwanja ulikua na kazi moja tu,, kumrudisha boss home bila kupita mwanza airport, hasa awapo na mizigo isiyotaka masuali mengi.. (money)😁😁
 
Awamu iliyopo sasa kuna watendaji walafi sana wa mali za umma na ili wafanikiwe lazima wajifiche kwenye makampuni ya kigeni wasijulikane mapema ila ikiondoka kwanza sheria ya kinga itaondolewa na aliyebariki ndiye atakaangwa kama ngisi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…