Maagizo yanashinda documentSio rahisi kwamba pesa zilihama bila Doc, kama ni halali ana uwezo wa kuzidai kwa sababu doc zipo kama famba pole yake!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maagizo yanashinda documentSio rahisi kwamba pesa zilihama bila Doc, kama ni halali ana uwezo wa kuzidai kwa sababu doc zipo kama famba pole yake!!!
Who told u boss, Document zinaishi mzee....Maagizo yanashinda document
Doc mbele ya jiwe??
Mawazo yako matamuUle uwanja ulikua na kazi moja tu,, kumrudisha boss home bila kupita mwanza airport, hasa awapo na mizigo isiyotaka masuali mengi.. (money)😁😁
Stori za vijiweni! Wewe ni mtunzi hodariSijakuelewa mkuu
Huyo mzee aliyezimia alipofariki JPM, huyu mleta uzi, Ilimbidi afanye ziara akaone atakavyokuwa akizirai huyu anayemwelezea hapa?Sukuma Gang njooni huku msijifanye hamuuoni huu uzi
Hali ilivyo kwa sasa uwanja wananchi wanautumia kuanika mazao na shughuli nyingine za kijamii hakuna ndege inatua chato kwakifupi hela za watanzania zimepotea.Duh!
Wewe bhwanah ni msimulizi mzuri sana wa stori. Ninakushauri uendeleze kipaji hicho, na uwe mwandishi na mtunzi mzuri wa vitabu.
Hapana, sihoji usahihi au la, wa stori yako hapa, bali nimevutiwa na uwasilishaji wake.
Hata hivyo, kama takwimu zako ni sahihi, kwamba ule uwanja wa ndege ni Tsh. bilioni 53, basi kumbe haikuwa hela ndefu sana; hata kama matumizi yake hayakufuata taratibu. Binafsi nilidhani ni pesa kubwa sana kutokana na sifa ya uwanja wenyewe ulivyokuwa ukielezewa humu JF na kwingineko.
Pole zake Steve, lakini stori ingenoga zaidi ungetoa mrejesho wa hali yake ilivyo sasa hivi.
Au pengine hiyo ni sura inayofuata katika kitabu chako?
Huko kichwani mwa Magufuli kulikuwa na mkanganyiko wa ajabu sana.Hali ilivyo kwa sasa uwanja wananchi wanautumia kuanika mazao na shughuli nyingine za kijamii hakuna ndege inatua chato kwakifupi hela za watanzania zimepotea.
😂 😂 😂 😂Kuna mwengine kilio msibani.utazani baba yake wa kumzaaView attachment 2526318
Kwa hiyo ulikuwepo wakati anazimia?Kuna mzee mmoja alikuwa na nyumba mbovumbovu mitaa ya kariakoo mtaa wa Congo mkabala na ilipokuwa Club ya Nyota Nyekundu,tuliozaliwa mjini miaka hiyo tunapaelewa.
Yule mzee majirani zake waliuza vile viwanja kwa mamilioni kadhaa cha chini ilikuwa bilioni moja
Ghafla afya ya yule mzee ikaanza kutetereka ,watoto wakaona hapa ndio muda wa kutajirika ,wakawa hawamuhudumii na wanamoaushauri mbovu ili afe wauze wagawane hela.
Yule mzee akawastukia kile kiwanja akakitoa wakfu kwa Bakwata,kwamba akifa ile ni mali ya waislam sio yao,muda si muda akakata kamba.watoto hawakuambulua kitu.leo kuna ghorofa la mwekezaji akiwa na ubia na Bakwata
Steve Makigo boss wa Mayanga Construction alipewa tenda ya kujenga uwanja wa Chato kwa mabilioni ya shilingi.bajeti ya awali ya uwanja ilikuwa bilioni 18 ila npaka unakamilika zilitumika bilioni 53
Makigo alikuwa best wa Hayati tangu Secondary ,walisoma pamoja na kuna kaundugu kakaibuka hapo baada ya mmoja kuoa kwenye ukoo wa mwenzake.
Siku chache kabla ya hayati kuitwa alitoa maagizo kuwakiasi cha bilioni kadhaa zihamishwe kutoka akaunti ya Mayanga Construction kwa kazi maalumu na zingerudishwa soon.zilihamishiwa kwenye akaunti fulani sitaitaja leo
Kabla hela hazijarudishwa simu ya mheshimiwa kwa wiki mbili haipatikani hakukuwa na mawasiluani ya Steve na John.
Punde taharifa radmi kuwa John hayupo.
Kilichofuata ni Steve kuzimia kuzinduka,kuzimia kuzinduka,mara tatu.
Sasa najiuliza kuzimia huko ni upendo wa dhati aliokuwa nao Steve kwa John au ni kuwaza zile bilioni kadhaa zilizohamishwa toka Mayanga Construction.
Bosi mimi mbona sio hodari wa kutunga stori we amini ninachopostKwa hiyo ulikuwepo wakati anazimia?
Au na wewe umepewa simulizi? Haahahahahaha
Baada ya hii chai leta chai nyingine kuhusu Magufuli…hahahaha na uzuri watu wameshajua wewe ni mtunzi mzuri…….😂😂😂😂😂😂😂