Kumbe aliahidi kabisa? Atimize ahadi ni deniMkuu kama ulivyotuahidi kutuletea za ndaaani ktk vile visa 1000 vya Magu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe aliahidi kabisa? Atimize ahadi ni deniMkuu kama ulivyotuahidi kutuletea za ndaaani ktk vile visa 1000 vya Magu
Pesa za mchongo halafu zinaamriwa a mtu mkubwa makaratasi ya nini?Sio rahisi kwamba pesa zilihama bila Doc, kama ni halali ana uwezo wa kuzidai kwa sababu doc zipo kama famba pole yake!!!
Kwa kutumia app fulani naweza kukuletea haya haya maandishi na jina la huyo Kagasheki likionekana. Huu siyo ushahidi usioweza pingwa kwa 100%
Kama sasa hivi mkwe kuwepo maliasili tutarajie nini kwa maliasili zetu??Mtoto wa dada kuwepo kwenye kitengo cha pesa ndio ilikuwa geti la kupitisha maazimio yote ya mjomba bila swali.
Huyo ndiye alikuwa msimamizi wa wizi wa Magufuli kupitia hiyo kampuni yakeKuna mzee mmoja alikuwa na nyumba mbovumbovu mitaa ya kariakoo mtaa wa Congo mkabala na ilipokuwa Club ya Nyota Nyekundu,tuliozaliwa mjini miaka hiyo tunapaelewa.
Yule mzee majirani zake waliuza vile viwanja kwa mamilioni kadhaa cha chini ilikuwa bilioni moja
Ghafla afya ya yule mzee ikaanza kutetereka ,watoto wakaona hapa ndio muda wa kutajirika ,wakawa hawamuhudumii na wanamoaushauri mbovu ili afe wauze wagawane hela.
Yule mzee akawastukia kile kiwanja akakitoa wakfu kwa Bakwata,kwamba akifa ile ni mali ya waislam sio yao,muda si muda akakata kamba.watoto hawakuambulua kitu.leo kuna ghorofa la mwekezaji akiwa na ubia na Bakwata
Steve Makigo boss wa Mayanga Construction alipewa tenda ya kujenga uwanja wa Chato kwa mabilioni ya shilingi.bajeti ya awali ya uwanja ilikuwa bilioni 18 ila npaka unakamilika zilitumika bilioni 53
Makigo alikuwa best wa Hayati tangu Secondary ,walisoma pamoja na kuna kaundugu kakaibuka hapo baada ya mmoja kuoa kwenye ukoo wa mwenzake.
Siku chache kabla ya hayati kuitwa alitoa maagizo kuwakiasi cha bilioni kadhaa zihamishwe kutoka akaunti ya Mayanga Construction kwa kazi maalumu na zingerudishwa soon.zilihamishiwa kwenye akaunti fulani sitaitaja leo
Kabla hela hazijarudishwa simu ya mheshimiwa kwa wiki mbili haipatikani hakukuwa na mawasiluani ya Steve na John.
Punde taharifa radmi kuwa John hayupo.
Kilichofuata ni Steve kuzimia kuzinduka,kuzimia kuzinduka,mara tatu.
Sasa najiuliza kuzimia huko ni upendo wa dhati aliokuwa nao Steve kwa John au ni kuwaza zile bilioni kadhaa zilizohamishwa toka Mayanga Construction.
App ganiKwa kutumia app fulani naweza kukuletea haya haya maandishi na jina la huyo Kagasheki likionekana. Huu siyo ushahidi usioweza pingwa kwa 100%
Ukiona mtu mzima tena mwanaume analia msibani mpaka akaloa machozi tena msiba wa jirani ujueeee kuna jamboooo........ Pararira lalaaaaaa ..... Nimekumbuka kale kamzikiKuna mwengine kilio msibani.utazani baba yake wa kumzaaView attachment 2526318
Mkuu kama ulivyotuahidi kutuletea za ndaaani ktk vile visa 1000 vya Magu
Kuna baadhi ya watu wanasema Mwamba JPM hajaacha "legacy" lakini JF mpaka leo miaka miwili Mwamba JPM ameondoka bila threads zake JF inapooza kama kuna msiba. Watu wanataka kusikia habari zake tu. Ziwe nzuri, ziwe mbaya. Hawataki kusikia habari za mikutano ya Chadema wala sijui Mama kaagiza mchele kutoka nje baada ya kuuza wetu nje! Ahahahahah!Kuna mzee mmoja alikuwa na nyumba mbovumbovu mitaa ya kariakoo mtaa wa Congo mkabala na ilipokuwa Club ya Nyota Nyekundu,tuliozaliwa mjini miaka hiyo tunapaelewa.
Yule mzee majirani zake waliuza vile viwanja kwa mamilioni kadhaa cha chini ilikuwa bilioni moja
Ghafla afya ya yule mzee ikaanza kutetereka ,watoto wakaona hapa ndio muda wa kutajirika ,wakawa hawamuhudumii na wanamoaushauri mbovu ili afe wauze wagawane hela.
Yule mzee akawastukia kile kiwanja akakitoa wakfu kwa Bakwata,kwamba akifa ile ni mali ya waislam sio yao,muda si muda akakata kamba.watoto hawakuambulua kitu.leo kuna ghorofa la mwekezaji akiwa na ubia na Bakwata
Steve Makigo boss wa Mayanga Construction alipewa tenda ya kujenga uwanja wa Chato kwa mabilioni ya shilingi.bajeti ya awali ya uwanja ilikuwa bilioni 18 ila npaka unakamilika zilitumika bilioni 53
Makigo alikuwa best wa Hayati tangu Secondary ,walisoma pamoja na kuna kaundugu kakaibuka hapo baada ya mmoja kuoa kwenye ukoo wa mwenzake.
Siku chache kabla ya hayati kuitwa alitoa maagizo kuwakiasi cha bilioni kadhaa zihamishwe kutoka akaunti ya Mayanga Construction kwa kazi maalumu na zingerudishwa soon.zilihamishiwa kwenye akaunti fulani sitaitaja leo
Kabla hela hazijarudishwa simu ya mheshimiwa kwa wiki mbili haipatikani hakukuwa na mawasiluani ya Steve na John.
Punde taharifa radmi kuwa John hayupo.
Kilichofuata ni Steve kuzimia kuzinduka,kuzimia kuzinduka,mara tatu.
Sasa najiuliza kuzimia huko ni upendo wa dhati aliokuwa nao Steve kwa John au ni kuwaza zile bilioni kadhaa zilizohamishwa toka Mayanga Construction.
Tuwekee kiunganish cha huo uziKuna uzi wake niliuweka humu mwaka jana utafute Hayati magufuli alivyomponza mfugale mpaka akafa kwa presha
Kumbe,lakini mi huwa naleta za ukweli,ukweli mtupuKuna baadhi ya watu wanasema Mwamba JPM hajaacha "legacy" lakini JF mpaka leo miaka miwili Mwamba JPM ameondoka bila threads zake JF inapooza kama kuna msiba. Watu wanataka kusikia habari zake tu. Ziwe nzuri, ziwe mbaya. Hawataki kusikia habari za mikutano ya Chadema wala sijui Mama kaagiza mchele kutoka nje baada ya kuuza wetu nje! Ahahahahah!
Watu wanataka habari za Mwamba JPM tu. Hata kama ni za uongo kama hii. Wewe leta tu! Watu wanazitaka ili wasisimke!!
WEWE NI MUONGOKuna mzee mmoja alikuwa na nyumba mbovumbovu mitaa ya kariakoo mtaa wa Congo mkabala na ilipokuwa Club ya Nyota Nyekundu,tuliozaliwa mjini miaka hiyo tunapaelewa.
Yule mzee majirani zake waliuza vile viwanja kwa mamilioni kadhaa cha chini ilikuwa bilioni moja
Ghafla afya ya yule mzee ikaanza kutetereka ,watoto wakaona hapa ndio muda wa kutajirika ,wakawa hawamuhudumii na wanamoaushauri mbovu ili afe wauze wagawane hela.
Yule mzee akawastukia kile kiwanja akakitoa wakfu kwa Bakwata,kwamba akifa ile ni mali ya waislam sio yao,muda si muda akakata kamba.watoto hawakuambulua kitu.leo kuna ghorofa la mwekezaji akiwa na ubia na Bakwata
Steve Makigo boss wa Mayanga Construction alipewa tenda ya kujenga uwanja wa Chato kwa mabilioni ya shilingi.bajeti ya awali ya uwanja ilikuwa bilioni 18 ila npaka unakamilika zilitumika bilioni 53
Makigo alikuwa best wa Hayati tangu Secondary ,walisoma pamoja na kuna kaundugu kakaibuka hapo baada ya mmoja kuoa kwenye ukoo wa mwenzake.
Siku chache kabla ya hayati kuitwa alitoa maagizo kuwakiasi cha bilioni kadhaa zihamishwe kutoka akaunti ya Mayanga Construction kwa kazi maalumu na zingerudishwa soon.zilihamishiwa kwenye akaunti fulani sitaitaja leo
Kabla hela hazijarudishwa simu ya mheshimiwa kwa wiki mbili haipatikani hakukuwa na mawasiluani ya Steve na John.
Punde taharifa radmi kuwa John hayupo.
Kilichofuata ni Steve kuzimia kuzinduka,kuzimia kuzinduka,mara tatu.
Sasa najiuliza kuzimia huko ni upendo wa dhati aliokuwa nao Steve kwa John au ni kuwaza zile bilioni kadhaa zilizohamishwa toka Mayanga Construction.
hohehahe ndugu yangu sio rahisi kumuua incumbent president,tena suspect awe a mere citizen ,hata kama ni rais mstaafu,unafahamu Rais ni amiri jeshi mkuu wa vyombo vya ulinzi na usalama,kuuliwa na raia ni kashfa na uzembe sana kwa victimBwana mdukuzi umekula umeshiba unaropoka tu 😊😊😊
Kuna wajinga wanatiririka hapa kwenye comments eti wana wasiwasi na wewe utakuwa TISS 😊😊😊... hivi mnadhani TISS huwaga ni wajingawajinga wa kuzungumza vya hovyo visivyojulikana na visivyo na uhakika wapate tu attention kutoka kwa raia wajinga wa design hii?!
Haya baadae uje ulete kisa kuwa aliuwawa na Mzee wa watu mzee Kikwete... Bin-Adam tuna kasumba sana! 😊