mdukuzi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 20,925
- 51,688
- Thread starter
- #121
Doc zipi tena,plea bargain ni mabilioni ya shilingi tuambie ziliingia akaunti ipi.kwa Magufuli kila kitu ilikuwa ni amri tu na wala sio procedure.Hearsay,
Bil 35 zipotee tu kimasihara bila doc zozote.
Mnalala mnaamka na kumshutumu hayati sababu hawezi kujibu.
Ila Mkewe na Wanae wanawasoma hapa
Hakuna kiumbe angeweza kumhoji