Kifo cha Magufuli: Dunia imeshuhudia Watanzania walivyokuwa wanampenda Magufuli

Huo umati ndio umepelekea watu kufa , anyway inaelekea wewe una mapenzi ya dhati naye, embu jiue basi umfate huko aliko ahera

Sent using Jamii Forums mobile app
Magufuli amekufa lakini Sokoine alizimia labda,je ni kweli leo nchi imetikisika kama Sokoine alipo kufa? Tanzania ina hadhina ya viongozi kuliko tunavyo jua.
 
mapenzi ya kulazimisha ndoa huvunjika.
ST JUDEschool Arusha wealilazimishwa wakajaze uwanja, walokole wa watu wakagoma wakaambiwa wamekwepa kodi bilioni moja na wakaporwa fedha na TRA.
Vivyo hivyo hata kwenye msiba ilikuwa inatangazwa kila taasisi iende na wanachukua rokoo, huzuni wala furahah hazilazimishwi.

kwioo
 
walilazimishiwa lini??
Hivi hiyo shule ni ya charity au ni ya biashara??
 
Wengi walikusanyika kuamini je ni kweli Mungu amesikia maombi yao?
 
Ngoja tuone 2025 kama watapata nyomi
 
walilazimishiwa lini??
Hivi hiyo shule ni ya charity au ni ya biashara??
JIWE alipokwenda kwenye Ziara Arusha[Sheikh Amri] walimgomea, sasa wewe unataka nini zaidi?
Shule ni CHARITY, wanyonge walipa kodi wa Australia wanalipa kila kitu kwa watoto maskini wa Tanzania ila CCM haitaki inataka kodi ilipwe, wakaiba hela zote kwenye akaunti, roho mbayabtu kwasababu ni watoto wa Kaskazini, shule ile ingekuwa CHATO SIDHANI kama wangeifungia hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…