Ona akili zakoUlitaka waajiriwe wote! Ila wabongo akili zenu.
Ona akili zakoUlitaka waajiriwe wote! Ila wabongo akili zenu.
Ushahidi huo.Weka ushahidi wa tuhuma zako. Mmeaibika mawakala wa mabeberu!!
Umekuwa na kawaida ya kuwasema watawala wakuu wa nchi.Kwa UPUMBAVU wako yoyote anayesema kweli kuhusu utawala wa dhuluma na udhalimu. Siku ukitilia akili kichwani labda utaelewa jinsi Watanzania wengi walivyoumizwa na utawala wa kidhalimu kupata kutokea nchini.
Unagombana na ukweliUlimpenda wew
Ulimpenda wew
Kanisaidia alilonisaidiawe kakusaidia nini mh mungu
Ajabu ya karne , sijui walifikiria nini? Ila Mungu wacha aitwe Mungu kawaonyesha ukweliTena humu wamo wanaumia sana
Nyinyi ndio mtakuwa mlikuwa mijizi yenyeweKwa UPUMBAVU wako yoyote anayesema kweli kuhusu utawala wa dhuluma na udhalimu. Siku ukitilia akili kichwani labda utaelewa jinsi Watanzania wengi walivyoumizwa na utawala wa kidhalimu kupata kutokea nchini.
Ww ambaye hukumpenda unafanya nini kwenye uzi usiokuhusu nenda kapigwe kibogaKwani kama wewe ulimpenda unadhani ambao hawakumpenda wanakosa gani?
Mbona mnafikiri kijima namna hiyo? Kama ambavyo wewe ulikuwa na haki ya kumpenda na wale ambao hawakumpenda wanna haki hiyo! Kwa nini unataka kulazimisha kila mtu awe na mtazamo wako?
Ndio utawala ulivyokuwaWatu waliaminishwa umaskini mzuri na kuwa mnyonge ,na kufurahia matajiri kuwa maskini ili walingane
Nyinyi ndio mtakuwa mlikuwa mijizi yenyewe
iliyopigwa pini
Ww ambaye hukumpenda unafanya nini kwenye uzi usiokuhusu nenda kapigwe kiboga
Aina ya watu kama ww ni wapuuzi sana....Kwa UFINYU wa akili yako. Upumbavu umetamalaki nchi hii na wewe ni mmoja Wapumbavu hao. Watanzania chungu nzima hawajawahi kuiibia Nchi hata senti moja lakini wakipinga wizi, dhuluma, dharau na maovu ya kila aina ya jiwe ambayo ni kinyume na taratibu za nchi nyie wapuuzi hamuelewi. Wapumbavu kama wewe ni janga lingine kubwa la Taifa kama alivyokuwa jiwe.
Zikeni mmalize aise mnatuchosha..zikeni mmalize watu waanze kuhema sasa kutema CHECHE kuonesha ngozi ya chui iliyokua imefichwa na ngozi ya kondooIla ninyi mahater kila mtu anasababu zake na nilazima zwe mojawapo hizui:
1:Ama ulitumbuliwa
2😛inzani la hatari
3:familia ya vigogo yaliyotemwa na mkulu
4:vyeti, au kugundulika uliingizwa kazini kiudugu huku vigezo ni 0
5:Lifanya biashara haramu (ngada, kukwepa kodi) baada ya kugundulika mambo yakaenda sivyo.
6:lisomi lilikalili kuwa hakuna maisha bila ajira, hivyo kila siku kuililia serikali itoe ajira.
Zikeni mmalize, twende na mama Samia sasa aipeleke Tanzania na kuweka tabasamu kwa mioyo iliyokua na mateso miaka mitanoHapana hamumjui Magufuli ninyi jinsi kacreate fursa....
Eg...mtu kumiliki kiwanja tz sio issue Tena.....kila mtu hata watoto wamemilikishwa kwa niaba....tatizo labda Ni eneo gani unataka...Kama ulikutwa viwandani au barabarani umetoboa...na hakuna tajiri au mpima ardhi kukuondia bila hiari yako...m
Wengi wao pale unawaona wameandika kanga Wana milioni za kutosha bank...
Viwanja hata dar milioni unapata..masurveyor wamejiajiri wengi Sana......
Expansion ya nchi thro dodoma....dar is still a business town..... Singida tabora shy iringa njombe no zinakula tricke..
Ndio tafsiri ya raisi wa wanyonge...sio hio mnaodhani ninyi
Tuacheni tulie
Endelea kulia ewe kweleakweleaHapana hamumjui Magufuli ninyi jinsi kacreate fursa....
Eg...mtu kumiliki kiwanja tz sio issue Tena.....kila mtu hata watoto wamemilikishwa kwa niaba....tatizo labda Ni eneo gani unataka...Kama ulikutwa viwandani au barabarani umetoboa...na hakuna tajiri au mpima ardhi kukuondia bila hiari yako...m
Wengi wao pale unawaona wameandika kanga Wana milioni za kutosha bank...
Viwanja hata dar milioni unapata..masurveyor wamejiajiri wengi Sana......
Expansion ya nchi thro dodoma....dar is still a business town..... Singida tabora shy iringa njombe no zinakula tricke..
Ndio tafsiri ya raisi wa wanyonge...sio hio mnaodhani ninyi
Tuacheni tulie
Mkuu wewe subiri apumzishwe jiwe utaona nchi itakavyobadilika... Hata nchi itapata mvua kubwaYaani acha tu!
Unajua propaganda ni silaha ya hatari! Watu wanakuwa brainwashed kabisa. Wanakosa kabisa uwezo wa kufikiri hivyo mtu mwingine anaanza kuwaswaga kama kondoo!
Kupitia propaganda watu wanaweza kuaminishwa jehanamu ni pazuri kuliko ahera. Kwa kipindi cha miaka mitano hicho ndicho kilichofanyika.
Mawakala wa mabeberu walikuwa wanajitahidi Sana kuiaminisha Dunia kuwa Watanzania wako kwenye mateso Sana chini ya utawala wa Rais Magufuli. Waliamini watanzania walio wengi watafurahi Sana na kushangilia Magufuli atakapoondoka madarakani au atakapofariki.
Kinyume chake mabeberu na mawakala wao (wakiongozwa na mkimbizi aliyeko ughaibuni huko ulaya) wamelazimika kushuhudia kwa macho yao umati mkubwa sana uliojitokeza kwa hiari kumuaga shujaa wao Magufuli!! Cha ajabu hata vyombo vyao vya habari kama BBC world service ukiingia kwenye tovuti yao hutakuta habari hii.
Laiti kama nyomi hii ya watu waliojitokeza kumsindikiza shujaa wao, ingekuwa ni maandamano ya kuipinga serikali ya Magufuli, vyombo vyote vya habari duniani vingeipa uzito wa kwanza habari hii kwa wiki nzima! Lakini kwa sasa ukifungua tovuti ya BBC news hutaona habari hii, kwa nini??
Sababu ni aibu!! Siku zote hivi vyombo vimetumika kuiaminisha Dunia kuwa Magufuli hajali watu wake, Magufuli ni mbaya, Magufuli ni dikteta. Waliaminishwa kuwa Magufuli akiondoka watu watafurahi!! Sasa kuionesha Dunia hali halisi ya watanzania walivyokuwa wanampenda kiongozi wao hawawezi!! Hawawezi kujiumbua uongo wao!! Ila wameona japo hawawezi kukiri kuwa Magufuli alipendwa Sana!! Labda anaweza kuzidiwa na baba wa Taifa tu mwl Nyerere!
Kinachowauma zaidi ni utulivu ulivyotawala!! Lingine kinachowauma zaidi ni jembe lililopokea kijiti!! Mama la nguvu Bi Samia Suluhu!! Kwanza kwa kuwaonesha jeuri hakuvaa ile "hirizi" ya wazungu wanayodai inawakinga na corona!! Hilo jopo lote la kitaifa halikuvaa hiyo "hirizi" usoni!!
Hiyo hirizi haijaweza kuwaokoa wao, itatuokoaje sisi? Hiyo Kinga ikitangulizwa mbele ya Mungu inageuka kuwa hirizi. Ukimtanguluza Mungu kwanza halafu hiyo Kinga inafuata inakuwa ni Kinga ya kawaida tu!! Sisi watanzania tumemtanguliza Mungu na Mungu ametuponya!! Mabeberu mtasubiri sana kuona vibaraka wenu wanapata nafasi nchini mwetu.
Nawahakikishia mabeberu watajuta!! Kwa hili jembe lililopokea kijiti, watasema ni afadhali ya Magufuli!! Uzalendo wa huyu mama mpaka nchi utasikia raha! Na mabeberu hawapendi kiongozi awe mzalendo wa nchi yake! Mabeberu wanapenda kiongozi awe wakala wao ilu waweze kuinyonya nchi!! Kwa Bi Samia Suluhu wameula wa chuya!!
Kwa hii idadi ya watu wanaokuja mzika..... Naanza kudoubt maneno ya wapinzani kuwa wanaibiwa kura nyakati za uchaguziKama anapendwa ilikuwaje apore uchaguzi badala ya kushinda kihalali? [emoji15]