stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 40,702
- 41,213
Huenda Wananchi wanaogopa bambikiwa kesi za uhujumu ndio maana Wanajifanya kugalagala ili DPP awaone
😂 😂 wewe jiandae kumpokea bashiru ally sku sio nyingi alafu wembe uendelee vile vile, kipindi kile alipigwa risasi 16 sasa saaahv moja inamtosha tu mahali pake