Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 23,114
- 29,434
Hayo mawazo yako yanalingana na uwezo wako wa kusubiri mwamba akuvushe.Kwamba atafufuka?
Hayo mawazo yako yanalingana na uwezo wako wa kusubiri mwamba akuvushe.Kwamba atafufuka?
Kama nyie mnavyoamini bila hayati si kitu sisi watzHayo mawazo yako yanalingana na uwezo wako wa kusubiri mwamba akuvushe.
Aisee duu daaa nomaHivi vifo bila kupingwa ni matokeo ya madua wakati wa uchaguzi. Yule jamaa aligombania ubunge Kinondoni, matokeo yake alishindishwa Mtulia na matokeo ya Mtulia yalionekana. Akagombania umakamu wa Rais, waliochakachua matokeo wote mnawaona.
Anapendwa mno hayo ni mawazo yako na wewe unaona lakin unajitia upofuWatanzania ni wanafiki haijapata tokea na kwa mazingira ya tukio lenyewe na namna alivyo kuwa anaendesha serikali ni lazima watu wajitokeze kwa wingi.
Nahicho wala sio kigezo cha kisema anapendwa , watanzania hawa ambao hata akishikwa mchawi akaanza kuzungushwa nchi nzima watu watajaa hivyo hivyo .
Magu kahumiza wanaoumiza watanzania waliowengiMkuu huyu Mataga hajitambui
Wewe ndo hujitambui unajitia upofu tu jamaa ni kiongozi na shujaaMkuu huyu Mataga hajitambui
Siyo kweliKwa UPUMBAVU wako yoyote anayesema kweli kuhusu utawala wa dhuluma na udhalimu. Siku ukitilia akili kichwani labda utaelewa jinsi Watanzania wengi walivyoumizwa na utawala wa kidhalimu kupata kutokea nchini.
Tena humu wamo wanaumia sanaKuna watu wanahasira haswaa , kuona umati wa watu ukimlilia hayati magufuli , pumzika kwa Amani .
Ulitaka waajiriwe wote! Ila wabongo akili zenu.Ujinga tu juzi jirani kaweka mdumange watu wakajazana wakaja na pombe zao wakanywa, Tz hata gari ka matangazo ya nusiba watu wajazana kwa kuwa wako jobless kwahio usitishwe na huo umati
Mimi nilipenda magufuli sipo upande wako.Acha kujitoa ufahamu wewe. Ni wewe na wenzio wachache wenye mapenzi na Magufuli siyo wengi wetu. Mnalazimisha watu waende uwanjani ili waongeze idadi. Nani asiyewajua ninyi
Siyo kweli je wanaweza kumtandikia hadi nguo apitepo!Watanzania ni wanafiki haijapata tokea na kwa mazingira ya tukio lenyewe na namna alivyo kuwa anaendesha serikali ni lazima watu wajitokeze kwa wingi.
Nahicho wala sio kigezo cha kisema anapendwa , watanzania hawa ambao hata akishikwa mchawi akaanza kuzungushwa nchi nzima watu watajaa hivyo hivyo .
Kwahiyo unataka kusema ukihudhulia kuaga mwili basi utatoka na alama kiasi kwamba wakati wahujumu uchumi wanakamatwa wewe watakuona kuwa niyule ulihudhulia msibani kwa magu ?Huenda Wananchi wanaogopa bambikiwa kesi za uhujumu ndio maana Wanajifanya kugalagala ili DPP awaone
Ila ninyi mahater kila mtu anasababu zake na nilazima zwe mojawapo hizui:Huo umati ndio umepelekea watu kufa , anyway inaelekea wewe una mapenzi ya dhati naye, embu jiue basi umfate huko aliko ahera
Sent using Jamii Forums mobile app
Huna akiliSie tunachojua kafa na hatorudi tena, watu walienda pale kuhakikisha tu kama kafa kweli mana sote tunajua kama mungu hafi.
Kwani nani alikwambia Hitler alikuwa mbaya?Hitler alipendwa sana pia pamoja na yote aliyoyafanya.