msabillah
JF-Expert Member
- Dec 5, 2011
- 4,763
- 3,204
Kumbe wanaojielewa humu wapo aisee safi sana kamanda .BBC naona ni wajinga tena wa kiwango cha infinity, hivi unawezaje kusema Taifa limegawanyika? hata kama unazo za kushikiliwa huwezi ona ? Magufuli ametumia muda mwingi kuijenga Tanzania, kudeal na makampuni yaliyokuwa yanakwepa kodi, kupambana na ufisadi kwa vitendo, na kuwasaidia wananchi wa chini ambao walionewa na kuwa wakimbikizi katika nchi yao, Rais kama yule lazima ashutumiwe vikali na matajiri wenyewe pia na nchi za magharibi ambazo zimezoea kuinyonya Africa. Hilo jambo ambalo huhitaji hata kwenda chekechea kujifunza, katandaza miradi ya maji kila mahari hata ambako ilikuwa ngumu kufika.