wagagagigi
JF-Expert Member
- Dec 9, 2014
- 890
- 986
Kuna sababu nyingi za kufanya watu wazimie. Kwa mfano watu huzimia kwa mshituko, watu ambao wako kwenye denial kwamba hawaamini kama mtu kama Magufuli anaweza kufa! The way alivyoji-potray kwa watu kama vile hakuna mtu mkali na strong kama yeye, na kwamba kila mtu ni lazima amuogope na amheshimu yeye! Watu wanashtuka kwa kuwa hawakulitegemea hili!Je waliokuwa wanazimia wakifika kwa jeneza tusemeje!
Jengine kuna watu ni rahisi kutishika na vitu kama maiti na who knows pengine maiti yake ilikuwa inatisha!
Kuna watu wanaoamini mambo ya mizimu na majini - kwamba marehemu alikuwa nayo...kama wenzetu mnavyosema mapepo, huenda baada ya kuona mtu wao ameondoka yamewakumba wengine!
Kuna ambao wanaamini kwamba kulingana na mazingira ya kiza marehemu alioshi nayo ilibidi iwepo kafara, na ndio vifo hivo vilivotokea.
Mtu wa kheri huishi na kuondoka kwa kheri, na kinyume chake ni kwamba ukiona mtu kaondoka na watu juwa kwamba huyu hakuwa mtu wa ....!