Kuna watu wana hasira na ndugu zao waliokufa kijinga uwanja wa Uhuru Jana.Kuna watu wanahasira haswaa , kuona umati wa watu ukimlilia hayati magufuli , pumzika kwa Amani .
Kuna watu wanahasira haswaa , kuona umati wa watu ukimlilia hayati magufuli , pumzika kwa Amani .
Hali inajieleza kama alipora ama la.kazi mnayo
Wanachato unadhani watasema nini? Wapotezee tu@ lkn wajue ndo imetoka hiyoKwa UPUMBAVU wako yoyote anayesema kweli kuhusu utawala wa dhuluma na udhalimu. Siku ukitilia akili kichwani labda utaelewa jinsi Watanzania wengi walivyoumizwa na utawala wa kidhalimu kupata kutokea nchini.
Utakuwa na cheti feki weweKwa UPUMBAVU wako yoyote anayesema kweli kuhusu utawala wa dhuluma na udhalimu. Siku ukitilia akili kichwani labda utaelewa jinsi Watanzania wengi walivyoumizwa na utawala wa kidhalimu kupata kutokea nchini.
wametengenezwa hao tena bongo land ujinga hawapendagiHuenda Wananchi wanaogopa bambikiwa kesi za uhujumu ndio maana Wanajifanya kugalagala ili DPP awaone
Huu ni umati wa watu wakimuaga Dikteta wa USSR Joseph Stalin mwezi March 1953. Katika utawala wake inakadiriwa watu 9ml waliuawa kwa amri zake moja kwa moja au na wasaudizi wakeNaomba kila mwenye uwezo wa kutuma clips ) picha zinazoonesha umati/ nyomi ya watu wakimsindikiza shujaa wa Taifa kwenye safari yake ya mwisho atupie hapa.
Mungu ni fisadi. Siyo mlala hoi kn shetani ambae ndo chanzo cha ulala hoi.ulale na panya!! Sio ujanja ukipenda hivo basi wewe ni motoni tu.Siyo watanzania wengi waliotumiwa, bali ni watanzania wachache waliokuwa mafisadi. Magufuli alidhibiti mafisadi! Mafisadi na watoto wao ndio wenye chuki na Magufuli.
Ona mwenyewe nyomi iliyokuwa inamuaga kwa heshima zote shujaa wa Taifa! Walitandika na nguo barabarani ili gari lililobeba mwili wa shujaa wa Taifa ili likanyage juu ya nguo!!
Watu wengi katika umati ule walikuwa genuine wanamlilia, lakini watu wengi zaidi walikuwepo pale kiumbea umbea. Kushuhudia kama kweli mtesi wao kaondoka! Halafu kuna ile kulia kwa majonzi, na kuna kulia kwa kuwa umepata relief fulani kwamba Mungu kamuondosha kweli jitu katili ambalo hukutegemea kama Mungu angetenda muujiza huu kwa siku za karibuni.Kuna watu wanahasira haswaa , kuona umati wa watu ukimlilia hayati magufuli , pumzika kwa Amani .
Watu wengi katika umati ule walikuwa genuine wanamlilia, lakini watu wengi zaidi walikuwepo pale kiumbea umbea. Kushuhudia kama kweli mtesi wao kaondoka! Halafu kuna ile kulia kwa majonzi, na kuna kulia kwa kuwa umepata relief fulani kwamba Mungu kamuondosha kweli jitu katili ambalo hukutegemea kama Mungu angetenda muujiza huu kwa siku za karibuni.
Kwa hiyo acheni kusingizia watu. Sio wote wanaolia kwa huzuni bali kuna wengi wanalia kufurahia! Au mtupe ushahidi kwamba mnajuwa wote wanaolia wanamlilia na sio kumzomea na kufurahia! Kama hamuwezi kutoa ushahidi huo please guys...shut your f...