Huo umati ndio umepelekea watu kufa , anyway inaelekea wewe una mapenzi ya dhati naye, embu jiue basi umfate huko aliko aheraNaomba kila mwenye uwezo wa kutuma clips ) picha zinazoonesha umati/ nyomi ya watu wakimsindikiza shujaa wa Taifa kwenye safari yake ya mwisho atupie hapa.
Hapana. Labda wewe hauko Tanzania na hujui kinachoendelea.Watu waliaminishwa umaskini mzuri na kuwa mnyonge ,na kufurahia matajiri kuwa maskini ili walingane
Na itachukua muda sana kuondoka ...its a psychological thing, yan unafurahia kua maskini na unajiona uko sawa na tajiri mwenye comfortable life , na ndio hao wameenda kukanyagana huko uwanjani na kusababisha vifoWatu waliaminishwa umaskini mzuri na kuwa mnyonge ,na kufurahia matajiri kuwa maskini ili walingane
Kabisa tatizo wengi wetu elimu hasa kina wanawakeNa itachukua muda sana kuondoka ...its a psychological thing, yan unafurahia kua maskini na unajiona uko sawa na tajiri mwenye comfortable life , na ndio hao wameenda kukanyagana huko uwanjani na kusababisha vifo
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama anapendwa ilikuwaje apore uchaguzi badala ya kushinda kihalali? 😳
Hali inajieleza kama alipora ama la.kazi mnayoKama anapendwa ilikuwaje apore uchaguzi badala ya kushinda kihalali? 😳
Huko duniani watu siyo misukule kama MATAGA, wanajua uhalisia kwa kutumia takwimu tu.
Assume walioonekana barabarani na uwanjani jana walikuwa milioni 1 (ingawa hawakufikia hata laki 1 kwa tathimini ya haraka haraka).
Hiyo ni chini ya 20% ya wakazi wote wa Dar es Salaam. Ni misukule tu ndiyo inayoweza kusema 20% eti ni kubwa kuliko 80%!!
Salim kikeke FALA tu, ETI KAACHA TAIFA LILILO GAWANYIKA...? kivipi???BBC naona ni wajinga tena wa kiwango cha infinity, hivi unawezaje kusema Taifa limegawanyika? hata kama unazo za kushikiliwa huwezi ona ? Magufuli ametumia muda mwingi kuijenga Tanzania, kudeal na makampuni yaliyokuwa yanakwepa kodi, kupambana na ufisadi kwa vitendo, na kuwasaidia wananchi wa chini ambao walionewa na kuwa wakimbikizi katika nchi yao, Rais kama yule lazima ashutumiwe vikali na matajiri wenyewe pia na nchi za magharibi ambazo zimezoea kuinyonya Africa. Hilo jambo ambalo huhitaji hata kwenda chekechea kujifunza, katandaza miradi ya maji kila mahari hata ambako ilikuwa ngumu kufika.