Kifo cha Magufuli kilileta udumavu mkubwa wa kifikra ambao ni hatari kwa Taifa. Watanzania tubadilike

RNA

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2013
Posts
1,647
Reaction score
2,803
Habari JF,

Inasikitisha sana kwa sana kuona Watanzania tumegawanyika na huu mgawanyiko umekaa kishabiki kiasi kwamba hata wale waliokuwa na uwezo mkubwa wa kufikiri huo uwezo haupo tena.

Kwa sasa ni dhahiri tumegawanyika makundi matatu kama ifuatavyo:

1. Wafuasi wa Awamu ya Tano (JPM), hawa wenyewe ni hawataki kusikia mabaya ya Awamu ya tano na hawaoni mazuri ya Awamu ya sita, kifupi kila linalofanywa ni baya.

2. Wafuasi wa Awamu ya Sita, hawa wanapenda kusikia mabaya ya Awamu ya Tano mabaya tu na kila linalofanywa na Awamu ya Sita ni zuri.

3. Kundi la tatu ni wale ambao wako bize na maisha, hawafuatilii masuala ya siasa. Yoyote atakaekuwepo ni sawa tu

MADHARA

Ni kwa wananchi tumekuwa mashabiki wa wanasiasa, maisha mtaani magumu, tunakopa pesa nyingi pamoja na misaada, kodi na tozo nyingi na mambo mengine mengi yanaendelea lakini watu akili kufikri zimekomea Ushabiki wa Awamu ya Tano na Sita kitu ambacho ni hatari kwa Taifa.

Mikutano ya siasa imeruhusiwa lakini hakuna cha maana, zaidi ya ushabiki huo na person attacks tu.

Kuna haja huu ufuasi kuisha sababu;

1. Tukitumia nguvu kubwa sana kumprove wrong Hayati yanaweza fanyika maamuzi mengi ambayo sahihi sababu tu kufurahisha sehemu ya wananchi.

2. Taifa linakosa fikra mbadala hivyo tabia hii haina budi kuisha.

Siasa na propaganda havitengamani hivyo Tuhuma bila Ushahidi ni Uzushi, tujiunge na kundi la 3.
 
Nipo kundi namba tatu hapo. Mfano leo sijalala nawaza mke wangu mjazito anatakiwa kwenda kliniki na sina mchongo wa kupata hata sh 5 mbovu.
 
Habari JF, inasikitisha sana kwa sana kuona watanzania tumegawanyika na huu mgawanyiko umekaa kishabiki kiasi kwamba hata wale waliokuwa na Uwezo mkubwa wa kufikiri huo Uwezo haupo tena.
Hayo ni maoni yako, yataheshimiwa. Nikuondoe wasiwasi, hakuna kitu kama mgawanyiko Tanzania. Hakuna!
Kwa sasa ni dhahiri tumegawanyika makundi matatu kama ifuatavyo:

1. Wafuasi wa awamu ya Tano (JPM), hawa wenyewe ni hawataki kusikia mabaya ya Awamu ya tano na hawaoni mazuri ya Awamu ya sita .kifupi kila linalofanywa ni baya.

2. Wafuasi wa Awamu ya Sita, hawa wanapenda kusikia mabaya ya awamu ya Tano mabaya tu na kila linalofanywa na Awamu ya sita ni zuri.

3. Kundi la tatu ni wale ambao wako bize na maisha hawafuatilii masuala ya siasa. Yoyote atakaekuwepo ni sawa tu
Hayo ni Makundi ya hapa Jamvini tu. Sio Nchini.
Msitugawe!
MADHARA: Ni kwa wananchi tumekuwa mashabiki wa wanasiasa, maisha mtaani magumu, tunakopa pesa nyingi pamoja na misaada, kodi tozo nyingi na mambo mengine mengi yanaendelea lakini watu akili kufikri zimekomea ushabiki wa awamu ya Tano na sita kitu ambacho ni hatari kwa Taifa.

Hayo maoni yako tu. Ambayo yana ukweli fulani ndani yake. Walakin sidhani kama unauelewa na watu wa Tanzania, ambako Siasa ni 100% of the time...nenda Kenya uulize, nenda Uganda uulize, nenda Rwanda uulize, nenda Zimbabwe uulize, nenda South Afrika uulize Ethiopia, Ghana Congo....the list goes on bwana na jibu watalokupatia ni kuwa

Tunalumbana kisiasa bila vurugu za aina yeyote kwa sababu Fikra zetu zimejizatiti katika Utu, Umoja na Amani...Misingi yetu ipo imara na ngao yetu ni Imara,
Hao jamaa huwa wanabaki na mshangao kila wakisikia dhoruba tunazopata na kuzipita!
RNA wewe unatishia Watanzania kwa kutaka kuaminisha tunapoteza umoja kwa sababu zisizo na miguu wala kichwa!

Usibabaishwe na Siasa za hapa mtandaoni.
Mikutano ya siasa imeruhusiwa lakini hakuna cha Maana zaidi ushabiki huo na person attacks tu.

Ukweli mtupu hapo. Vyama vingine havina sera zinazoeleweka au wanashindwa kuziuza! Uko sahihi
Kuna haja huu ufuasi kuisha sababu :-
1. Tukitumia nguvu kubwa sana kumprove wrong hayati yanaweza fanyika maamuzi mengi ambayo sahihi sababu tu kufurahisha sehemu ya wananchi .
Hao wachache wameshadhibitiwa, hawana lao Tanzania.
2. Taifa linakosa fikra mbadala hivyo tabia hii haina budi kuisha .

Fikra ipo moja tu. Umoja na Amani, na ni ndio ngao yetu kubwa!
Siasa na propaganda havitengamani hivyo Tuhuma bila Ushahidi ni Uzushi Tujiunge na kundi la 3.
Hilo kundi la tatu, ni la woga tu. Usitetereke

Lakini...
Ujikomboe na ...

Mabeberu na Vibaraka wake

Beberu ni Beberu na atapigwa vita milele Tanzania na Afrika yote.

Alichokifanya Magufuli kitaendelea kudumishwa. Wapende Wasipende

Magulification must go on.
Hayo ni yangu!
 
Sijihangaishi na siasa maji uharo za hii nchi!
 
Hayo unayoyoyaita maisha magumu awamu ya sita ni matokeo ya awamu ya 5 kuanzisha mamiladi makubwa na ya gharama kubwa alafu mengi tukope tu kupunguza makali hakuna namba mama pambana hivyohivyo yote haya kayaanzisha baba yao mwendakuzimu.
 
Habari JF,

Inasikitisha sana kwa sana kuona Watanzania tumegawanyika na huu mgawanyiko umekaa kishabiki kiasi kwamba hata wale waliokuwa na uwezo mkubwa wa kufikiri huo uwezo haupo tena.

Kwa sasa ni dhahiri tumegawanyika makundi matatu kama ifuatavyo:

1. Wafuasi wa Awamu ya Tano (JPM), hawa wenyewe ni hawataki kusikia mabaya ya Awamu ya tano na hawaoni mazuri ya Awamu ya sita, kifupi kila linalofanywa ni baya.

2. Wafuasi wa Awamu ya Sita, hawa wanapenda kusikia mabaya ya Awamu ya Tano mabaya tu na kila linalofanywa na Awamu ya Sita ni zuri.

3. Kundi la tatu ni wale ambao wako bize na maisha, hawafuatilii masuala ya siasa. Yoyote atakaekuwepo ni sawa tu

MADHARA

Ni kwa wananchi tumekuwa mashabiki wa wanasiasa, maisha mtaani magumu, tunakopa pesa nyingi pamoja na misaada, kodi na tozo nyingi na mambo mengine mengi yanaendelea lakini watu akili kufikri zimekomea Ushabiki wa Awamu ya Tano na Sita kitu ambacho ni hatari kwa Taifa.

Mikutano ya siasa imeruhusiwa lakini hakuna cha maana, zaidi ya ushabiki huo na person attacks tu.

Kuna haja huu ufuasi kuisha sababu;

1. Tukitumia nguvu kubwa sana kumprove wrong Hayati yanaweza fanyika maamuzi mengi ambayo sahihi sababu tu kufurahisha sehemu ya wananchi.

2. Taifa linakosa fikra mbadala hivyo tabia hii haina budi kuisha.

Siasa na propaganda havitengamani hivyo Tuhuma bila Ushahidi ni Uzushi, tujiunge na kundi la 3.
Fikra gani unazungumzia kuuwa watu, kuumiza watu, kuwanyan’anya hela kwenye account zao? Ubaguzi wa kikabila? Ubadhirifu wa mali za umma? Akina Sabaya na Makonda? Fikra gani? Kuwanyima watu uhuru wa kukusanyika na kuzungumza? Au wizi mkubwa wa kura na uharibifu wa uchaguzi mkuu?
 
Huyo marehemu ndiye aliyekua na mawazo mgando, he had a very strange way of thinking. Ni aibu kwa taifa.
Kwa taarifa yako,msingi mkuu inayotembelea serikali ya ssh umewekwa na jpm,kila kitu unachokiona kinafanyika kwenye awamu ya sita,msingi kaweka jpm, ukiona mama kabeba kikapu kimejaa ngano,ujue aliyelima shamba ni jpm,
 
Huyo marehemu ndiye aliyekua na mawazo mgando, he had a very strange way of thinking. Ni aibu kwa taifa.
Hata kama unamuona alikuwa na mawazo mgando, lakini kwa akili za kawaida, wewe hutakiwi kufikiria kama yeye, unapofikiria kama yeye basi nawe unakuwa hauna tofauti nae.
 
Kwanza pale hakukuwa na fikra zaidi ya uhuni na upigaji wa kishenzi kabisa!
Dhuluma, ukatili, uhuni na ushamba ndio ilikuwa DIRA ya utawala ule wa kiovu
 
Hayo ni maoni yako, yataheshimiwa. Nikuondoe wasiwasi, hakuna kitu kama mgawanyiko Tanzania. Hakuna!

Hayo ni Makundi ya hapa Jamvini tu. Sio Nchini.
Msitugawe!

Hayo maoni yako tu. Ambayo yana ukweli fulani ndani yake. Walakin sidhani kama unauelewa na watu wa Tanzania, ambako Siasa ni 100% of the time...nenda Kenya uulize, nenda Uganda uulize, nenda Rwanda uulize, nenda Zimbabwe uulize, nenda South Afrika uulize Ethiopia, Ghana Congo....the list goes on bwana na jibu watalokupatia ni kuwa

Tunalumbana kisiasa bila vurugu za aina yeyote kwa sababu Fikra zetu zimejizatiti katika Utu, Umoja na Amani...Misingi yetu ipo imara na ngao yetu ni Imara,
Hao jamaa huwa wanabaki na mshangao kila wakisikia dhoruba tunazopata na kuzipita!
RNA wewe unatishia Watanzania kwa kutaka kuaminisha tunapoteza umoja kwa sababu zisizo na miguu wala kichwa!

Usibabaishwe na Siasa za hapa mtandaoni.

Ukweli mtupu hapo. Vyama vingine havina sera zinazoeleweka au wanashindwa kuziuza! Uko sahihi

Hao wachache wameshadhibitiwa, hawana lao Tanzania.

Fikra ipo moja tu. Umoja na Amani, na ni ndio ngao yetu kubwa!

Hilo kundi la tatu, ni la woga tu. Usitetereke

Lakini...
Ujikomboe na ...

Mabeberu na Vibaraka wake

Beberu ni Beberu na atapigwa vita milele Tanzania na Afrika yote.

Alichokifanya Magufuli kitaendelea kudumishwa. Wapende Wasipende

Magulification must go on.
Hayo ni yangu!

Huu upuuzi unaoendelea hapa nchini ni matokeo ya siasa za kishenzi za dhalimu wa awamu ya tano. Machafuko au mapinduzi ndio yatarejesha nchi hii katika mstari sahihi.
 
Hayo unayoyoyaita maisha magumu awamu ya sita ni matokeo ya awamu ya 5 kuanzisha mamiladi makubwa na ya gharama kubwa alafu mengi tukope tu kupunguza makali hakuna namba mama pambana hivyohivyo yote haya kayaanzisha baba yao mwendakuzimu.
Sasa mbona miradi zilikuwepo awamu ya Tano na Maisha hayakuwa magumu kama sasa hivi?aisee kama hujui kitu sio lazima ukoment.maisha ni magumu Kwa Sababu mafisadi yanayomiliki makampuni yanaongeza gharama za bidhaa Ili kufidia hasara walizopata.
 
Nonsense.sasa hivi mama yenu ndo anaongoza alafu blem unapeleka Kwa magufuli kuweni na Akili basi.ukweli ni kwamba mafisadi yamerudi na yanatukomoa.
 
Kwanza pale hakukuwa na fikra zaidi ya uhuni na upigaji wa kishenzi kabisa!
Dhuluma, ukatili, uhuni na ushamba ndio ilikuwa DIRA ya utawala ule wa kiovu
Nonsense kama kungekuwa na upigaji kama sasa hivi zile miradi mikubwa zilianzishwaje.
 
Fikra gani unazungumzia kuuwa watu, kuumiza watu, kuwanyan’anya hela kwenye account zao? Ubaguzi wa kikabila? Ubadhirifu wa mali za umma? Akina Sabaya na Makonda? Fikra gani? Kuwanyima watu uhuru wa kukusanyika na kuzungumza? Au wizi mkubwa wa kura na uharibifu wa uchaguzi mkuu?
Tuachane na habari za mwendazake
 
Sasa mbona miradi zilikuwepo awamu ya Tano na Maisha hayakuwa magumu kama sasa hivi?aisee kama hujui kitu sio lazima ukoment.maisha ni magumu Kwa Sababu mafisadi yanayomiliki makampuni yanaongeza gharama za bidhaa Ili kufidia hasara walizopata.
Hayakuwa magumu kwako biashara nyingi zilikufa awamu ya 5 labda wakati huo ulikuwa Burundi wewe,unajifanya mjuaji wakati 0 tu,kwa upande wa kaskazini mwa Tanzania mipaka ya kibiashara ilifungwa hivyo kupelekea mazao mengi kukosa soko ref kuchomwa Vifaranga wajinga kama nyie dawa yenu kuzikwa wazima pembeni ya kaburi la meko.
 
Habari JF,

Inasikitisha sana kwa sana kuona Watanzania tumegawanyika na huu mgawanyiko umekaa kishabiki kiasi kwamba hata wale waliokuwa na uwezo mkubwa wa kufikiri huo uwezo haupo tena.

Kwa sasa ni dhahiri tumegawanyika makundi matatu kama ifuatavyo:

1. Wafuasi wa Awamu ya Tano (JPM), hawa wenyewe ni hawataki kusikia mabaya ya Awamu ya tano na hawaoni mazuri ya Awamu ya sita, kifupi kila linalofanywa ni baya.

2. Wafuasi wa Awamu ya Sita, hawa wanapenda kusikia mabaya ya Awamu ya Tano mabaya tu na kila linalofanywa na Awamu ya Sita ni zuri.

3. Kundi la tatu ni wale ambao wako bize na maisha, hawafuatilii masuala ya siasa. Yoyote atakaekuwepo ni sawa tu

MADHARA

Ni kwa wananchi tumekuwa mashabiki wa wanasiasa, maisha mtaani magumu, tunakopa pesa nyingi pamoja na misaada, kodi na tozo nyingi na mambo mengine mengi yanaendelea lakini watu akili kufikri zimekomea Ushabiki wa Awamu ya Tano na Sita kitu ambacho ni hatari kwa Taifa.

Mikutano ya siasa imeruhusiwa lakini hakuna cha maana, zaidi ya ushabiki huo na person attacks tu.

Kuna haja huu ufuasi kuisha sababu;

1. Tukitumia nguvu kubwa sana kumprove wrong Hayati yanaweza fanyika maamuzi mengi ambayo sahihi sababu tu kufurahisha sehemu ya wananchi.

2. Taifa linakosa fikra mbadala hivyo tabia hii haina budi kuisha.

Siasa na propaganda havitengamani hivyo Tuhuma bila Ushahidi ni Uzushi, tujiunge na kundi la 3.
Hebu niambia hata moja la maana la awamu ya 6.
 
Hayo unayoyoyaita maisha magumu awamu ya sita ni matokeo ya awamu ya 5 kuanzisha mamiladi makubwa na ya gharama kubwa alafu mengi tukope tu kupunguza makali hakuna namba mama pambana hivyohivyo yote haya kayaanzisha baba yao mwendakuzimu.
Ni ubunifu unaweza kujenga nyumba nzuri tena bila kuathiri lishe ya familia.unasema mira mikubwa pesa hakuna lakini ukikaa hivi unasikia bilioni 40 zimepigwa pale mara mkandarasi amelipwa hela bila kufanya kazi halafu unakuja hapa kusema hamna hela
 
Back
Top Bottom