Habari JF,
Inasikitisha sana kwa sana kuona Watanzania tumegawanyika na huu mgawanyiko umekaa kishabiki kiasi kwamba hata wale waliokuwa na uwezo mkubwa wa kufikiri huo uwezo haupo tena.
Kwa sasa ni dhahiri tumegawanyika makundi matatu kama ifuatavyo:
1. Wafuasi wa Awamu ya Tano (JPM), hawa wenyewe ni hawataki kusikia mabaya ya Awamu ya tano na hawaoni mazuri ya Awamu ya sita, kifupi kila linalofanywa ni baya.
2. Wafuasi wa Awamu ya Sita, hawa wanapenda kusikia mabaya ya Awamu ya Tano mabaya tu na kila linalofanywa na Awamu ya Sita ni zuri.
3. Kundi la tatu ni wale ambao wako bize na maisha, hawafuatilii masuala ya siasa. Yoyote atakaekuwepo ni sawa tu
MADHARA
Ni kwa wananchi tumekuwa mashabiki wa wanasiasa, maisha mtaani magumu, tunakopa pesa nyingi pamoja na misaada, kodi na tozo nyingi na mambo mengine mengi yanaendelea lakini watu akili kufikri zimekomea Ushabiki wa Awamu ya Tano na Sita kitu ambacho ni hatari kwa Taifa.
Mikutano ya siasa imeruhusiwa lakini hakuna cha maana, zaidi ya ushabiki huo na person attacks tu.
Kuna haja huu ufuasi kuisha sababu;
1. Tukitumia nguvu kubwa sana kumprove wrong Hayati yanaweza fanyika maamuzi mengi ambayo sahihi sababu tu kufurahisha sehemu ya wananchi.
2. Taifa linakosa fikra mbadala hivyo tabia hii haina budi kuisha.
Siasa na propaganda havitengamani hivyo Tuhuma bila Ushahidi ni Uzushi, tujiunge na kundi la 3.