Kifo cha Magufuli, Tanzania ilipata hasara ya karne moja, maumivu yake yatawafikia hata walioshangilia

Kifo cha Magufuli, Tanzania ilipata hasara ya karne moja, maumivu yake yatawafikia hata walioshangilia

Kwa Sasa wananchi was Hali ya chini kuna mateso makubwa, mlo ni mara mbili Kwa wiki.

Baada ya kushindwa kuwaongezea maslahi watumishi hata shilling mtaani imekauka
 
Tarehe 17.03.2021 ilipotangazwa kifo cha Rais wa tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Watanzania walipata hasara ya karne ambayo haiwezi kufidiwa,

Katikati ya mjadala mkubwa wa bandari za Tanganyika kuuzwa kwa Waarabu,malalamiko ya Wananchi lakini ndio kwanza tunaonyeshwa ndege ya Rais inatua Dubai na baadae kupelekea Saudi Arabia lakini tunaambiwa kila Weekend Rais uwa anakwenda Dubai yaani anafanya safari huko huko kwa tunaowalalamikia,Rais wetu hatujali kabisa. Hana uzalendo wala uchungu wa lolote lile.
Hiyo tarehe ni siku ya furaha kuu kwa watanzania baada ya Mungu kumpotezea kwa mbali aliyejiona kama MunguMtu kutoka Chato
 
Tarehe 17.03.2021 ilipotangazwa kifo cha Rais wa tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Watanzania walipata hasara ya karne ambayo haiwezi kufidiwa,
Mtu yoyote akifa ni hasara ambayo haiwezi kufidiwa, ila kila mtu lazima afe, siku yake ikifika.
Katikati ya mjadala mkubwa wa bandari za Tanganyika kuuzwa kwa Waarabu,malalamiko ya Wananchi lakini ndio kwanza tunaonyeshwa ndege ya Rais inatua Dubai na baadae kupelekea Saudi Arabia lakini tunaambiwa kila Weekend Rais uwa anakwenda Dubai yaani anafanya safari huko huko kwa tunaowalalamikia,Rais wetu hatujali kabisa. Hana uzalendo wala uchungu wa lolote lile.
Huu ni udaku na umbea!
P
 
Tarehe 17.03.2021 ilipotangazwa kifo cha Rais wa tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Watanzania walipata hasara ya karne ambayo haiwezi kufidiwa,

Katikati ya mjadala mkubwa wa bandari za Tanganyika kuuzwa kwa Waarabu,malalamiko ya Wananchi lakini ndio kwanza tunaonyeshwa ndege ya Rais inatua Dubai na baadae kupelekea Saudi Arabia lakini tunaambiwa kila Weekend Rais uwa anakwenda Dubai yaani anafanya safari huko huko kwa tunaowalalamikia,Rais wetu hatujali kabisa. Hana uzalendo wala uchungu wa lolote lile.
Kufa kwa mtu sio hasara ni faida maana ndiyo sheria ya kila kiumbe.Uzalendo ni nini?Na wale mnaosema wazalendo uzalendo wao ukowapi?
 
Mimi hapa ninajuta. Nilifurahia kwakweli, lakini siyo kwa haya madudu yanayoendelea
 
Paul Makonda ndani ya nyumba
 
Pamoja na kwamba hayati Magufuli alitangaza hadharani kwamba amewasamehe lakini kwa mambo yanavyoenda sasa hivi ni dhahiri Makamba na Nape waliomba msamaha kinafiki na walipokea msamaha kinafiki pia.

Makamba alipoteuliwa tu uwaziri wa nishati kazi ya kwanza ilikuwa ni kwenda kufukuza ma electrical engeneers wote pale Tanesco na alipoulizwa kwa nini unafukuza watendaji wote ? Akajibu hataki kufanya kazi na watu walioteuliwa na Magufuli!!, leo ni miaka miwili imepita lakini kila tatizo linapoibuka pale Tanesco , Makamba husema sababu ni Magufuli alilazimisha mashine kuwaka bila kufanyia service!

Chuki ya Makamba kwa Magufuli imesababisha miradi yote ya Tanesco kuzorota kwa kasi, mgao wa umeme, usambazaji umeme vijijini ni kama haupo kila kukicha ni visingizio vya kila aina.

BODI YA TANESCO ILIYOUNDWA NA MAKAMBA

"Taarifa kwa umma ya leo Jumamosi Septemba 25, 2021 iliyotolewa na Waziri imewataja wajumbe hao wa bodi mpya ya TANESCO ni
Mkurugenzi Maharage Chande,
Nehemia Mchechu, Zawadia Nanyaro, Lawrence Mafuru, Eng Cosmas Masawe, Abubakar Bakhresa, Eng. Abdallah Hashim, Balozi Mwanaidi Maajar, Christopher Mwita Gachuma."

BODI YA TANESCO ILIYOVUNJWA NA MAKAMBA
Mkurugenzi Eng Tito Mwinuka,
"Balozi Dk James Nzagi (alikuwa Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa TANESCO iliyomaliza muda wake) na Dkt. John Kihamba (Mhadhiri wa Chuo Kikuu Kishiriki cha Elimu Dar es Saam - DUCE).

Wengine ni Dk Lugano Wilson (Mkurugenzi wa Maendeleo ya Uhandisi na Mkuu wa Teknolojia za Nishati - TIRDO), John Kulwa (Mkuu wa Idara ya Ukaguzi Chuo Kikuu Kishiriki cha Afya na Sayansi Shirikishi - MUHAS) na Denis Munumbu (Mchunguzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa - TAKUKURU).
Dk Gemma Modu (Mkurugenzi NACTE), Mathew Kirama (Mkurugenzi Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma) na Gilay Shamika (Mjumbe katika bodi iliyopita)"

#Makamba Na Bodi yako ya Kubumba,yenye wajumbe wenye kutia shaka,kuanzia "kitaaluma" mpaka "kimaadili."
 
Back
Top Bottom