Kifo cha Magufuli, Tanzania ilipata hasara ya karne moja, maumivu yake yatawafikia hata walioshangilia

Dikteta ndo alifuta mikataba ya kampuni za madini kipuuzi sasa hivi tunalipishwa mabilioni na mahakama. Yeye na Profesa mpuuzi Mruma walitudanganya tunaidai Barric trilioni 495.. alitumia mabilioni ya Tsh kujijengea Airport kijijini kwake. Hata stendi ya Magufuli ilivyojengwa kibabe ni suala la muda tu itahamishwa tena.

Chato ni Tanzania
 
Kwa tulipofikia ilikuwa ni lazima iwe hivyo

Kuna madikteta kama Japan China Urusi etc etc Korea
But see wananchi wanaishi kwa hali nzuri

Kwa sasa balance ya masikini na matajiri gap ni kubwa
Uko sawa
 
Tanzania ilipata uhuru wa pili tarehe 17/ 03/ 21 baada ya kifo cha Dikteta dhalimu John Pombe Magufuli
Nakuunga mkono 100%

Haya sasa, kwa kuwa tupo huru na haki imetamalaki, tuwekee namba ya simu hapa tukupongeze kwa airtime
 
Yule mashamba alitaka kushindana na watoto wa mjini ila wakamtanguliza sasa analiwa na wadudu.

JPM was sick day one . He had natural death ….. acheni kutembelea huo upepo eti mmemuondoa; hakuna kima yoyote aliye involve

kifo cha JPM , mnajipa umwamba sana eti watoto wa mjini mmemuondoa na story za kutunga tunga.

JPM Alikuwa Ana shida ya moyo zamani snaa na ameshazimia zimia sana tangu yupo UD.

Majukumu ya urais na stress za kuondoa mafisadi ndio zili ongeza ugonjwa , moyo wake haukutakiwa kabisa kuongezeka kwa pressure

Huwa nawashangaa mnaoaminishwa eti baadhi ya watu wamehusika na kifo cha JPM. Huo ni uzushi ambao wahuni wanatembea nao :
Tunajua wote wanaotembelea huo upepo walishaondolewa kwenye ramani

Sote tunajua JPM had pacemaker artificially, na hata kwenye misafara yake tangu siku ya kwanza kulikuwa na ambulance special for his emergency, na hata kwa afya yake JPM
hakutakiwa kuwa anapanda ndege mara kwa mara kwa hili effect ya pressure na height as you go high, ndio manaa JPM alikuwa anatumia sana road , wengi walidhan anapunguza matumizi, it is recommendation kwasababu pressure variation na irregularities za pacemaker. Pressure ikiwa ina vary sna , inastop kufanya kazi.

Yaani watz ni Rahisi snaa kuwa manipulated

Sijui dark days , eti Born town , sijui PAKA na upuuzi mwingine, story za kutunga na mind game tu

Hakuna mwenye ujanja wa kuua rais kwa TZ , ukianza hizo movie hautofika mwisho anyway

Hata jeshi hawana huo ujanja

.Sio rahis. Mifumo ya TZ imeundwa kwa
Utii na nidham ya hali ya juu…. Hufik mbali umeshataitishwa

JPM siku zake zilifika sema wahuni wakaona huu ndio upepo wa kutia watu jamba jamba

Wanasiasa wa TZ wengi ni academia failures waliounga unga. Ni waongo , malaghai na wezi
 
Hasara zaidi ni sa100 kuwa rais wa Tz, hana mamlaka kabisa kama rais...kuna genge limemzidi maarifa ambapo chini ya Jiwe kamwe isingewezekana!!.
 
Inauma sana
 
Kwa tulipofikia ilikuwa ni lazima iwe hivyo

Kuna madikteta kama Japan China Urusi etc etc Korea
But see wananchi wanaishi kwa hali nzuri

Kwa sasa balance ya masikini na matajiri gap ni kubwa
Shida inakuja alikuwa hataki challenge yoyote ukijaribu kifo kinakufuata chap
 
JPM was sick day one . He had natural death ….. acheni kutembelea huo upepo eti mmemuondoa; hakuna kima yoyote aliye involve

kifo cha JPM , mnajipa umwamba sana eti watoto wa mjini mmemuondoa na story za kutunga tunga.

JPM Alikuwa Ana shida ya moyo zamani snaa na ameshazimia zimia sana tangu yupo UD.

Majukumu ya urais na stress za kuondoa mafisadi ndio zili ongeza ugonjwa , moyo wake haukutakiwa kabisa kuongezeka kwa pressure

Huwa nawashangaa mnaoaminishwa eti baadhi ya watu wamehusika na kifo cha JPM. Huo ni uzushi ambao wahuni wanatembea nao :
Tunajua wote wanaotembelea huo upepo walishaondolewa kwenye ramani

Sote tunajua JPM had pacemaker artificially, na hata kwenye misafara yake tangu siku ya kwanza kulikuwa na ambulance special for his emergency, na hata kwa afya yake JPM
hakutakiwa kuwa anapanda ndege mara kwa mara kwa hili effect ya pressure na height as you go high, ndio manaa JPM alikuwa anatumia sana road , wengi walidhan anapunguza matumizi, it is recommendation kwasababu pressure variation na irregularities za pacemaker. Pressure ikiwa ina vary sna , inastop kufanya kazi.

Yaani watz ni Rahisi snaa kuwa manipulated

Sijui dark days , eti Born town , sijui PAKA na upuuzi mwingine, story za kutunga na mind game tu

Hakuna mwenye ujanja wa kuua rais kwa TZ , ukianza hizo movie hautofika mwisho anyway

Hata jeshi hawana huo ujanja

.Sio rahis. Mifumo ya TZ imeundwa kwa
Utii na nidham ya hali ya juu…. Hufik mbali umeshataitishwa

JPM siku zake zilifika sema wahuni wakaona huu ndio upepo wa kutia watu jamba jamba

Wanasiasa wa TZ wengi ni academia failures waliounga unga. Ni waongo , malaghai na wezi
Na huo ndio ukweli wenyewe!!
Cardiovascular 🫀 ndio lilikuwa tatizo lake na sisi wengine wengi tu tuliobaki Cardiovascular 🫀 itafanya mambo yake one day. !!
This World is not my home !
Tunatakiwa tuishi kwa Uadilifu na heshima kwa wote huku tukijua kuwadhulumu masikini kwa kuiba pesa zao na kusababisha matatizo yasiyoisha ya huduma za kijamii ni jambo linalomkasirisha sana Mungu 🙏
 
Material things Kwa wajinga ni muhimu kuliko misingi ya haki, umoja na uhuru Kwa wote, yes alikuwa chapa kazi lakini ukatili ule hapana
 
Back
Top Bottom