Kifo cha Magufuli, Tanzania ilipata hasara ya karne moja, maumivu yake yatawafikia hata walioshangilia

Nenda kafe tukuzike Chato ukutane na DIKTETA
 
Magufuli ni Hitler mdogo
Tatizo liko hapo tu
Hitler alifanya makubwa sana huko kwao
Ukiondoa yale mabaya aliyofanya, Hitler is the best
ndiyo jinsi Magufuli alivyokuwa sasa
Kuna haja wananchi kuwajibika kuibadili hii nchi hakuna viongozi waliofanya mema kwa sababu ya uhuru uliopitiliza
 
Symbion malipo fasta fasta !!
 
You nailed it. !
 
Tulioshangilia tunacomment wapi??
 
Allah kampenda mja wake were ni nani uzungumze kwamba ni hasara kwa TAIFA,
MPANGO WA MUNGU MARA ZOTE NI WA HEKIMA NA BARAKA ZA KIPEKEE!,
ILIKUWA SIKU YA BARAKA ILIYO KUU,KWA SISI TUNAOMUAMINI MUNGU,NA NYIE WA MAMBO YA KIDUNIA MNAIITA SIKU YA HASARA.
Mie sikuelewi,siku ya kumpoteza mpendwa wako iwe ni siku ya furaha?!,kitabu gn cha dini unasoma weww?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…