Yule mashamba alitaka kushindana na watoto wa mjini ila wakamtanguliza sasa analiwa na wadudu.
JPM was sick day one . He had natural death β¦.. acheni kutembelea huo upepo eti mmemuondoa; hakuna kima yoyote aliye involve
kifo cha JPM , mnajipa umwamba sana eti watoto wa mjini mmemuondoa na story za kutunga tunga.
JPM Alikuwa Ana shida ya moyo zamani snaa na ameshazimia zimia sana tangu yupo UD.
Majukumu ya urais na stress za kuondoa mafisadi ndio zili ongeza ugonjwa , moyo wake haukutakiwa kabisa kuongezeka kwa pressure
Huwa nawashangaa mnaoaminishwa eti baadhi ya watu wamehusika na kifo cha JPM. Huo ni uzushi ambao wahuni wanatembea nao :
Tunajua wote wanaotembelea huo upepo walishaondolewa kwenye ramani
Sote tunajua JPM had pacemaker artificially, na hata kwenye misafara yake tangu siku ya kwanza kulikuwa na ambulance special for his emergency, na hata kwa afya yake JPM
hakutakiwa kuwa anapanda ndege mara kwa mara kwa hili effect ya pressure na height as you go high, ndio manaa JPM alikuwa anatumia sana road , wengi walidhan anapunguza matumizi, it is recommendation kwasababu pressure variation na irregularities za pacemaker. Pressure ikiwa ina vary sna , inastop kufanya kazi.
Yaani watz ni Rahisi snaa kuwa manipulated
Sijui dark days , eti Born town , sijui PAKA na upuuzi mwingine, story za kutunga na mind game tu
Hakuna mwenye ujanja wa kuua rais kwa TZ , ukianza hizo movie hautofika mwisho anyway
Hata jeshi hawana huo ujanja
.Sio rahis. Mifumo ya TZ imeundwa kwa
Utii na nidham ya hali ya juuβ¦. Hufik mbali umeshataitishwa
JPM siku zake zilifika sema wahuni wakaona huu ndio upepo wa kutia watu jamba jamba
Wanasiasa wa TZ wengi ni academia failures waliounga unga. Ni waongo , malaghai na wezi