Kifo cha Magufuli, Tanzania ilipata hasara ya karne moja, maumivu yake yatawafikia hata walioshangilia

Uhuru ? Unajua manaa ya uhuru.

Wewe ni kiazi. Kila mtu anamtazamo wake wa ku determine who is the best president.

Huo ni mtazamo wangu, na wewe tafuta wako uweke , usinipangie namna ya ku comment , Academic Failure wewe
Sijakupangia cha kusema wewe kenge, nimesema umetumia uhuru wako kuandika pumba, period
 
Alionea watu sn acha afe

Wapinzani wa Senegal siyo wasaliti wa nchi kama hawa wa Tanzania.

# Lisu tutashitakiwa MIGA tukidai kodi kwenye madini yetu.

# tukichimba bwawa la umeme mvua haitanyesha tena na miti millioni 3 itakatwa hivyo tutatengwa kimataifa.
 
Kwa hiyo ni uongo? kesi ngapi tumeshindwa?
 
Kama kuna mkono wa mtu, huo mkono ukatwe na kuzikwe katikati ya bahari penye kina kirefu. Mkono ufutike katika uso wa dunia.
 
Bahati mbaya sana alikuwa akitueleza kila siku kuwa amejitoa sadaka kwa ajili yetu na hatukumuelewa..

Na wala hakukosea alipokuwa akisema Yale yote aliyokuwa akiyafanya siku akiondoka atayafanya nani..??

Mwisho wa siku tunajionea mauzauza..
Lile likikuwa pigo kuu. Wazalendo waloshindwa kumlinda mwamba.
 
Jiwe kama jiwe alikuwa vizuri kwenye kuwanyoosha watu wa magharibi kujiona wao ndo wao na kwa hili alifanikiwa na alikuwa anaelekea kufanikiwa zaidi na zaidi.

Kwenye kuitengeneza sura ya miji mikubwa ionekane kama miji kweli alishafanikiwa sana. Ubungo inter-change, fly over, mfugale bridge, SGR, na vingine vingi tu vinavyowapa kiburi CCM kujigamba na kutaka kuvitumia kumpamba navyo aliyechukua kijiti.

Hawana aibu na hizo hasara unazosema kwasababu wao hayawahusu. Kikubwa kwao ni wabaki madarakani na kuwarithisha watoto wao na wa vimada vyao

Pale Msamvu Morogoro getini kabisa baada ya kuzikwa hata kabla ya arobaini kuna mtu kaporomosha bonge la sheli matata sehemu ambayo ni enelo la stendi.

Lakini tusisahau mwamba naye alizidi ukatili na ubabe kwa watu wake baana. Kwake sheria zilikuwa nimaandishi tu kama magazeti ya Shigongo ndio maana watu wanahisi wahuni waliamua kupita nae mapema ili kusafisha wingu kabla mvua haijanyesha maana alipokuwa anaelekea lazima kuna watu wangeiga nyendo zake na hatimaye kuonekana ni kawaida tu kitu ambacho wahuni wa ndani na nje hawakitaki.
 
Nikipata nafasi ya kwenda kwenye kaburi la Magufuli nitatafuta namna ya kusogeza jiwe kubwa kabisa juu ya Hilo kaburi ili hata Yesu akija asitoke!
 
Muafrika ni kama nyani mkuu sometimes bila kuutumia ukatili habadiliki kamwe. Magufuli was right tatizo alikuwa na maadui wengi Afrika ukiuchukia unafiki na watu wanakuchukia, ukigusa maslahi yao your gone brother

Hata waliomuuwa wanajuta
 
Muafrika ni kama nyani mkuu sometimes bila kuutumia ukatili habadiliki kamwe. Magufuli was right tatizo alikuwa na maadui wengi Afrika ukiuchukia unafiki na watu wanakuchukia, ukigusa maslahi yao your gone brother
Hapana alitesa sn wakosoaji wake
 
Mwafrika ni mwafrika tu sisi kudaiwa na Barric ni sahihi kuliko sisi kuidai Barric.Tuna safari ndefu watu weusi wa Taifa hili.
 
Mwafrika ni mwafrika tu sisi kudaiwa na Barric ni sahihi kuliko sisi kuidai Barric.Tuna safari ndefu watu weusi wa Taifa hili.
Sasa unaidai bila kufuata utaratibu wa kisheria? Wewe kama unamdai mtu utaenda tu kumvamia bila utaratibu kisa unamdai?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…