Kifo cha Magufuli, Tanzania ilipata hasara ya karne moja, maumivu yake yatawafikia hata walioshangilia

Waambie machawa ukweli hawaelewi kitu chochote kabisa mwamba!
 
o
Sasa unaidai bila kufuata utaratibu wa kisheria? Wewe kama unamdai mtu utaenda tu kumvamia bila utaratibu kisa unamdai?
oh waoh kumbe ustaarabu upo kwa mdai lakini si kwa mdaiwa!Mtu akuibie makusudi bila kujua maumivu utakayopitia lakin kwenye kumdai uende kistaarabu which means mwizi anaENJOY every minute from kuiba mpaka kudaiwa!!Amazing isn't it!?
 
Gharama za kutaka kumpoteza Lissu zingekuwa kubwa kwa Taifa maradufu ya hizo.
 
Gharama za kutaka kumpoteza Lissu zingekuwa kubwa kwa Taifa maradufu ya hizo.

Lisu hata sasa hivi hayupo Tanzania, familia yake wote ni raia wa marekani.

Umeelewa?
Au kuelewa kwa nyumbu mpaka mijeredi matakoni
 
Lisu hata sasa hivi hayupo Tanzania, familia yake wote ni raia wa marekani.

Umeelewa?
Au kuelewa kwa nyumbu mpaka mijeredi matakoni
ndo ivo; mwenda kaonda zake kamkimbia Lissu. mchimba kaburi kaingia...
 
Tanzania Raisi gani alikua mzuri na pia mfano wa kuigwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…