JET SALLI
JF-Expert Member
- Dec 1, 2014
- 2,392
- 1,578
Uwezo wa kulinda chetu hatuna hata kwa hizohizo sheria.Sasa unaidai bila kufuata utaratibu wa kisheria? Wewe kama unamdai mtu utaenda tu kumvamia bila utaratibu kisa unamdai?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uwezo wa kulinda chetu hatuna hata kwa hizohizo sheria.Sasa unaidai bila kufuata utaratibu wa kisheria? Wewe kama unamdai mtu utaenda tu kumvamia bila utaratibu kisa unamdai?
Samia is far better than all, except mwalimu Nyerere.
Waambie machawa ukweli hawaelewi kitu chochote kabisa mwamba!Dikteta ndo alifuta mikataba ya kampuni za madini kipuuzi sasa hivi tunalipishwa mabilioni na mahakama. Yeye na Profesa mpuuzi Mruma walitudanganya tunaidai Barric trilioni 495.. alitumia mabilioni ya Tsh kujijengea Airport kijijini kwake. Hata stendi ya Magufuli ilivyojengwa kibabe ni suala la muda tu itahamishwa tena.
oh waoh kumbe ustaarabu upo kwa mdai lakini si kwa mdaiwa!Mtu akuibie makusudi bila kujua maumivu utakayopitia lakin kwenye kumdai uende kistaarabu which means mwizi anaENJOY every minute from kuiba mpaka kudaiwa!!Amazing isn't it!?Sasa unaidai bila kufuata utaratibu wa kisheria? Wewe kama unamdai mtu utaenda tu kumvamia bila utaratibu kisa unamdai?
Hatari hiiTayari viwanda vya sukari wanalia, Tanzania ya viwanda imeota mbawa
Huna akiliTanzania ilipata uhuru wa pili tarehe 17/ 03/ 21 baada ya kifo cha Dikteta dhalimu John Pombe Magufuli
Mafi yako mlamba asali jike weweSio kweli.
Magufoool hakuongeza mshahara wala kupandisha madaraja miaka sita, bora aliuliwa kabla ya kuleta maafa makubwa.
ndo ivo; mwenda kaonda zake kamkimbia Lissu. mchimba kaburi kaingia...Lisu hata sasa hivi hayupo Tanzania, familia yake wote ni raia wa marekani.
Umeelewa?
Au kuelewa kwa nyumbu mpaka mijeredi matakoni
Afe mara ya pili huko jehanam aliko tenaHuna akili