silent lion
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 1,278
- 1,794
nyie wenzetu si mnaaambiwa mpaka kifo kiwatenganisheItakuwa mapenzi tu. Ndoa ikiingia kiza achaneni. Ona sasa mnaenda kutesa watoto na wengine jela
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nyie wenzetu si mnaaambiwa mpaka kifo kiwatenganisheItakuwa mapenzi tu. Ndoa ikiingia kiza achaneni. Ona sasa mnaenda kutesa watoto na wengine jela
Kwamba Mume wa marehemu hajulikani jina au jina limehifadhiwa Kwa sababu za kiuchunguzi?
Wanaume tambueni kwamba ukiona msomi tena mtumishi usiwe na moyo mdogo vinginevyo yatakukuta.
View: https://x.com/HabariLeo/status/1865645138753831183?t=ojXIMpahOtEXHMgsybtc1g&s=19
Nilishamaliza mkuuBora wewe ulijisemea unazaa na hujali 😂😂
Kama walivyoagiza tusizini na tunazini bas na kutengana tunatengana mkuunyie wenzetu si mnaaambiwa mpaka kifo kiwatenganishe
Ndoa iheshimiwe na watu wote.Shikamoo ndoa,,🙇