Kifo cha Mfamasia Magdalena Kaduma, Jeshi la Polisi linamshikilia mume kwa uchunguzi

Kifo cha Mfamasia Magdalena Kaduma, Jeshi la Polisi linamshikilia mume kwa uchunguzi

Katika tukio hilo, mume wa Magdalena ambaye hajafahamika jina, anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa mahojiano kutokana na kifo hicho huku mfanyakazi wa ndani wa kiume aliyekuwa akiishi pamoja nao, akidaiwa kuwa ametoroka.
20241209_062315.jpg
 
Back
Top Bottom