Mlundilwa Jr
JF-Expert Member
- Dec 11, 2019
- 3,187
- 4,857
Ila umeambiwa umtaje mtu mmoja maarufuKifo cha Mwl JK Nyerere, ule Msiba ulikuwa mzito sana Kwa Taifa
Kule Vijijini ni kama hawakuwa wamejiandaa kusikia Mzee naye angekata Moto π
Michael Jackson
Steven Kanumba
Mzee Reginald Mengi
Mzee JP Magufuli
Fredwaa (Mzee wa Sindano 5 za Moto)
Kifo hakizoeleki aisee π
I could start with the first Man, Mwl NyerereIla umeambiwa umtaje mtu mmoja maarufu
1)John Pombe Joseph Magufuli.Tumekuwa tukiumizwa na vifo vua watu wa karibu Kama ndugu jamaa au marafiki au majirani kutokana na bond tuliyokuwa nayo.
Je, kifo Cha mtu Gani maarufu kishawahi kukusikitisha kutokana na mchango wake katika jamii au athari chanya aliyoleta?
Mi nimewaona wanaomsikitikiaTuli
Tuliosherkea kwa kuchoma mbuzi hamtuoni?
Kuna tuliosherekea mapema baada ya Mungu kuamua ugomviMi nimewaona wanaomsikitikia