Kifo cha mtu gani maarufu kishawahi kukusikitisha?

Kifo cha mtu gani maarufu kishawahi kukusikitisha?

Kifo cha Mwl JK Nyerere, ule Msiba ulikuwa mzito sana Kwa Taifa

Kule Vijijini ni kama hawakuwa wamejiandaa kusikia Mzee naye angekata Moto 🙌

Michael Jackson

Steven Kanumba

Mzee Reginald Mengi

Mzee JP Magufuli

Fredwaa (Mzee wa Sindano 5 za Moto)

Kifo hakizoeleki aisee 🙌
Ila umeambiwa umtaje mtu mmoja maarufu
 
Tumekuwa tukiumizwa na vifo vua watu wa karibu Kama ndugu jamaa au marafiki au majirani kutokana na bond tuliyokuwa nayo.

Je, kifo Cha mtu Gani maarufu kishawahi kukusikitisha kutokana na mchango wake katika jamii au athari chanya aliyoleta?
1)John Pombe Joseph Magufuli.
2)Edward Sokoine.
3)Yassir Arafat.
4)Ebrahim Raisi
 
Kifo Cha Magufuli,
Niliteseka saana!

Mara ya kwanza niliposikiliza record ya historia ya Bob Marley, nikiwa darasa la Sita, nililia!![emoji24][emoji24] Kusikia kifo chake though alikufa many years before my birth!

Mabraza walikuwa wapenzi wakubwa wa Bob Marley, ikafikia wakati nikapenda muziki wake, nikwa nakariri nyimbo zake kwenye daftari za mabraza
Bufallo soldier
Bad card
Could you be loved
Ride natty ride
Wake up and live
Rasta man live up
Na mingine mingi

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Hkn kifo kilichonifanya nijisikie nimefiwa kama cha JPM ,vifo vingi tu hutokea tena vya watu mbalimbali lkn sijawahi kusikitika kiasi kile kama tukio la Magu

Tukio jingine ambalo liliwahi kunifanya nikahuzunika ni tukio la ndege ya Malaysia MH 370 ambayo ilipotea mwaka 2014 na haijawahi kupatikana hadi leo hii na ilikuwa na abiria 239
 
Back
Top Bottom