Kifo cha mtu gani maarufu kishawahi kukusikitisha?

Kifo cha mtu gani maarufu kishawahi kukusikitisha?

Wacko Jacko,nasikia nae alitaka kusilim awe muislam,wakammaliza,sawa na Princes Diana. Alitaka kuolewa na Muislam.
 
Huyu si Hamza aliyeua police pale Slender Bridge na baadaye naye akauwawa na snappers wa police?
Ndo yeye. Kifo cha mpambanaji huyo kiliniuma km cha polisi kilivyoniuma pia
 
Tumekuwa tukiumizwa na vifo vua watu wa karibu Kama ndugu jamaa au marafiki au majirani kutokana na bond tuliyokuwa nayo.

Je, kifo Cha mtu Gani maarufu kishawahi kukusikitisha kutokana na mchango wake katika jamii au athari chanya aliyoleta?
Samora Machel 1986, Yitzhak Rabin 1995, Julius Nyerere 1999, Seif sharif Hamad, 2021, JPM 2021.
 
John Magufuli inaonyesha alikubalika na kupendwa sana. Challenge zote zinazomuhusisha akiwa hai na hii ya kuumiza kwa kifo. Amekuwa akipata kura/ kutajwa kwa wingi kushinda wote.
 
Nilihisi uchungu wa ndani sana nilivopata taarifa za kifo cha hawa miamba
01cf30592650c8c68920ff20203fe38b.png
1693938687100.jpg
 
Back
Top Bottom