aiseeTena sana naweza nikawa mtoto wako wa kwanza 19yrs!
Kumbe kitoto cha jana tu.Nilikua std 6 Niko mwananyamala Mara nkaona Komba anaombolezaa eti Nyerere kafa...
Nakumbuka nilienda hadi taifa kuuona mwli wake!
Humu vitoto vingi kumbe!!kumbe mdogo hivi mbona haufananii na mambo yako
[emoji23] [emoji23] [emoji23] dogo hunipatii ht kidogoo wewee!Kumbe kitoto cha jana tu.
Mwenzio nilikuwa kidato cha tano.[emoji23] [emoji23] [emoji23] dogo hunipatii ht kidogoo wewee!
sana kwakweli yaan nimebaki nashangaaHumu vitoto vingi kumbe!!
[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] ht la nne hujafika badoMwenzio nilikuwa kidato cha tano.
Thubutu yako! Unadhani mie mtoto mwenzio!![emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] ht la nne hujafika bado
shunii ulikua la ngapi?!![emoji12] [emoji12] [emoji12]sana kwakweli yaan nimebaki nashangaa
tena wajuzi!!Thubutu yako! Unadhani mie mtoto mwenzio!!
nijibu kwanza swali langu mwananyamala ulikua unasoma na kuishi huko au, mwaka huo ndio nimemaliza std 7.shunii ulikua la ngapi?!![emoji12] [emoji12] [emoji12]
yaap nilikua naishi kule!shule mabibonijibu kwanza swali langu mwananyamala ulikua unasoma na kuishi huko au, mwaka huo ndio nimemaliza std 7.
Halafu ndo hao hao tunabishana nao hapa, kweli fake ID zimetupumbazaKumbe watoto wadogo wengi humu la pili, la tatu???
Thubutuuutena wajuzi!!
nilijua ulisoma kuleyaap nilikua naishi kule!shule mabibo
MeonaeeeKumbe watoto wadogo wengi humu la pili, la tatu???