Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
Katoto ka jana tu.Nilikua shuleni darasa la5, kengele ikapigwa ya dharura tukajulishwa msiba wa taifa tukarudishwa home
Njiani tunakutana na nyimbo za maombolezo basi tukaanza na sisi kulia hasa tulivosikia vita itakuja.,.