neemajames
Member
- Oct 13, 2016
- 25
- 3
Nimechoka kutenda dhambi. Sasa basi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Radio Dedio [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mkuu sitakaa nisahau mi nilikuwa ndo niko darasa la saba ila kipindi anatangazwa kafariki tulikuwa migombani tunachuma kahawa na redio tulikuwa nayo tumening'iniza kwenye mkahawa!!tena umenikumbusha dedio ilikuwa aina ya national ile ya batery 4 kubwa[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Dah! Unachosema ni kweli ndugu. Ndiyo maana mara nyingine nimekuwa nikistaajabu mada nyingi msinazokuwa zikichangiwa sana ni zile zinazohusu mambo ya kijinga kama vile ngono, nk. Wakati ule zile za muhimu zinazohusu mambo ya kijamii zikipuuzwa!Kumbe huku % kubwa ni watoto ?,ushauri wangu ni huu,suala la umri lizingatiwe ili uweze kuwa member wa jf,pls wahusika walifanyie Kali
We like u too bro..Umeonaeee, sie wakati huyo jamaa anakufa tuwatu wazima kabisa na k tunakula. Nashangaa wengi wanasema lapili mara darasa la tatu, si bora hao walokuwa form 4. Ndo maana tunapojadili maswala ya msingi huku tunakuwa na shida sana kumbe watoto wamejaaa aghhhhhrrrri.
Natania tu bwana watotot msiogope, nyie ndo mnafanya JF isiwe boared, I like you kids.
Shikamoo babuMnaoshangaa watoto,hamjui hii ndo generation mpya imacoverup wakati wale wazamani wakipukututika na kuachia nafasi,
haa sio watoto tena wameshakua wakubwa,waliokuwa la pili,la kwanza sasa wana miaka 24-25,hawa ni watu wazima tu,hata wewe wa miaka 35 ama 40 sasa unaweza kuoa bila tabu.
Mimi kipindi hicho niko dodoma nafuatilia pensheni ya kustaafu,kwakweli tulilia sana
haaaaaa!!shikamoo sasa!!Nilikuwa mwaka wa nne mwanzoni enzi hizo panaitwa FoE... Electrical Engineering..
Redio zote no kupiga ndombolo mwezi mzima. Ni nyimbo za maombolezo tu...
ILA HUMU KUNA WATOTO WENGI... ndo maana wengine tunavumiliaga matusi na kashfa nyingi humu
Ata avatar yako ina dhirihisha iloh dogo[emoji102]Watu wanasema walikua primary schools wanatokea wengine wanasema kumbe jamii forum imevamiwa na watoto sasa mimi sijui utaniitaje maana sikuwa nimezaliwa [emoji23]
Yego jaji. Waongelamo maboksi?Nilikuwa darasa la kwanza Kamunyonge s/m..ile nafika shule mida ya saa 7 siku hyo alhamisi namkuta mwl matete paredi na bendera tayari ikiwa robo tatu ya mlingoti
Kutiki go?Yego jaji. Waongelamo maboksi?