Ipo aja ya kuifadhi id za watu humu ili utakapokuwa unabishana naye ujue ana umri ganihahaha kumbe wengi wadogo humu. nlikua kazini mitaa ya ohio Dar. kazini ilikua ni mwaka wa pili. chuo nlishamaliza na CPA juu.
Na utagundua kuwa ukiandikwa uzi wa lugha ya malkia wanalalamika kweli utadhan umeandika kichina,Kumbe huku % kubwa ni watoto ?,ushauri wangu ni huu,suala la umri lizingatiwe ili uweze kuwa member wa jf,pls wahusika walifanyie Kali
Wee ulikuwa seven au six maana Darasa la saba walishamaliza, wee sema ulikuwa unamalizia notes Za LA sitaNilikuwa class seven,shule nzima ilisinyaaa kw mda
Kumbe kakubwa weweNilikua shuleni darasa la5, kengele ikapigwa ya dharura tukajulishwa msiba wa taifa tukarudishwa home
Njiani tunakutana na nyimbo za maombolezo basi tukaanza na sisi kulia hasa tulivosikia vita itakuja.,.
Mlikua mnalilia nini sasaMnaoshangaa watoto,hamjui hii ndo generation mpya imacoverup wakati wale wazamani wakipukututika na kuachia nafasi,
haa sio watoto tena wameshakua wakubwa,waliokuwa la pili,la kwanza sasa wana miaka 24-25,hawa ni watu wazima tu,hata wewe wa miaka 35 ama 40 sasa unaweza kuoa bila tabu.
Mimi kipindi hicho niko dodoma nafuatilia pensheni ya kustaafu,kwakweli tulilia sana
Alisema nani hayo maneno maana wengi walilia kisa vita[emoji1] unafikiri alikuwa analilia raha, tulishaambiwa akifa tu VITA.
Kisangaji au Gichameda?Mimi nilikuwa Magugu, Babati nalima zangu mpunga kwenye majaruba.
Ndugu umenikumbusha mbali na hyo 'lazima vita vitokee'Nilikua LA pili mudio primary tumekaa madrasa usiku stori zikaanza nyerere kafa lazima vita vitokee mi nkasema siendi mahali ntakua nalala zangu huku darasani. Miaka imesonga
Mkuu mie nilikwa darasa la nne.Nilikua darasa la pili Mwanza shule Shule msingi Makongoro. R.I.P Mwl J.K.N