Kifo cha Mwalimu Nyerere 14/10/1999, ulikuwa wapi?

Kifo cha Mwalimu Nyerere 14/10/1999, ulikuwa wapi?

Nilikuwa kwenye hiace naenda shuleni bunge darasa la pili.
 
Nilikuwa form 4 na siku hiyo nilikuwa nime dodge class na washkaji tukipiga final touch nyuma ya darasa la pcm form 5 at OLD MOSHI SEC huzuni mpaka sumu/ ugali maharage haukulika siku hiyo
 
Nilikuwa mwalimu KCMC Hospital baada ya kumaliza chuo cha medicine
 
Hahahahahahahah lol! Nyerere alipendwa na Watanzania hawa waliokuja nyuma yake majonzi hayatafikia hata robo ya yale ya kifo cha Nyerere.

Lazima niwe mkweli nilikuwa darasa la sita shule ya msingi Mbuyuni hapo njia ya kuelekea posta, tulirudishw home kisa nyerere kafa, nilipofika nyumbani nilimkuta mwenye nyumba analia mithili ya mtu aliyebakwa
 
Shuttling between nyanda za juu kaskazini na kusini kusaka maisha...kipindi cha ukapa wa mzee Mkapa.
Kiukweli nchi ilipooza kwa taarifa ya msiba huo, rais mkapa alitangaza kupitia itv/tvt kwa hisia kali msiba huo na machozi yalikuwa yakimlenga. Uliweza kuona kwa uwazi hali ya taharuki katika sura za watu wengi
 
Back
Top Bottom