Kifo cha Mwalimu Nyerere 14/10/1999, ulikuwa wapi?

Kifo cha Mwalimu Nyerere 14/10/1999, ulikuwa wapi?

Nilikuwa Upanga nyumbani kwangu
Sad and totally sad!
 
Nilikua darasa la tatu shekilango primary mchana najiandaa kwenda shule nikaambiwa shule hakuna leo mwalimu amefariki
 
nilikua Zanzibar baada ya kumaliza darasa la 7.
 
Nilikuwa Std 1 Bunge primary narudi home saa 7 namkuta mshua anamskiliza mzee mkapa akihutubia kwenye radio
 
Nilikuwa std VI, unaambiwa saa sita na wimbo wa taifa kwenye rtd, kufika shule tukaambiwa turudi nyumbani Mwalimu Nyerere amefariki[emoji13] [emoji13] Mwanzo nilifikiri Nyerere ndio mwalimu mkuu[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
[emoji1] [emoji1] [emoji1] mwalimu mkuu wa shule yako ulikua humjui loh
 
Mi hata sikumbuki nilikua wapi ,niliona watu wamejaa kwenye tv nilivyoona watu wengi kwenye tv wanalia na kuzimia nami vimachozi vikanitoka nikawa nashangaa kweli baadae nikaenda zangu kucheza makopo sikua na muda mie

Haukuwa kanyenye kweli?
 
Back
Top Bottom