Kifo cha Mwalimu Nyerere 14/10/1999, ulikuwa wapi?

Kifo cha Mwalimu Nyerere 14/10/1999, ulikuwa wapi?

Darasa la nne, Bunge primary!!ikapigwa kengele ya dharura.
 
Nilikuwa nyumbani na miaka miwili,kipindi hicho hata nilikuwa sijui jina langu 군함
 
Zimebaki siku 10 itimie miaka 19 ya kifo cha Baba wa Taifa Mwl. Julius K. Nyerere.

Tuambie taarifa za kifo chake ulizipata ukiwa wapi na unafanya nini!?
tapatalk_1481743651324.jpeg
 
da aisee naikumbuka siku hiyo nilikuwa naelekea kurasini nashuka tu kwenye gari nasikia wimbo wa taifa unapigwa nikaishiwa na nguvu hamu ya kufanya kazi yote ikaisha nikaenda kusikiliza redio mara mkapa akaanza kutangaza iliniuma sanaaaaa
 
Nakumbuka wakati mkapa anatangaza mm nilikuwa naenda shambani kumwagilia mboga zangu
 
nilikua darasa la 4, narud home mida ya mchana baada ya ndondo, nakuta babu anasikiliza dw radio dira ya mchana na anambia ila sikua na idea yyte, niliona kwaida
 
da aisee naikumbuka siku hiyo nilikuwa naelekea kurasini nashuka tu kwenye gari nasikia wimbo wa taifa unapigwa nikaishiwa na nguvu hamu ya kufanya kazi yote ikaisha nikaenda kusikiliza redio mara mkapa akaanza kutangaza iliniuma sanaaaaa
Wakati Benjamini Mkapa akilitangazia Taifa kifo cha Nyerere nadhani hapo ilishapati siku mbili baada ya kufa kwake , wakati huo Benjamin Mkapa alikuwa akiaandaa mazingira ya kutangaza kifo chake.

Ilikuwa masikitiko zaidi baada ya Mkapa kurudi Dar es saaam akitokea St Thomas London uingereza kila mtaanzania
Alionekana mnyonge na macho ya masikitiko.
 
Alionekana mnyonge na macho ya masikitiko.
nikweli ulikuwa msiba mkubwa isingekuwa rahisi afariki tu na kutangaza nchi nzima ilizizima kama vile kulikuwa na giza limelifunika taifa zima
 
Mimi Nilikuwa Mdogo Sana Ata shule Sijaanza hila Kuna Baadhi ya Matukio Nayakumbuka Kwa Karibu
 
Hakuna litakalo haribika- Benjamin Mkapa
FB_IMG_1538732739077.jpeg
 
Back
Top Bottom