Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
SwirrrKwa kweli...
Khaaa...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SwirrrKwa kweli...
Khaaa...
Oooh wewe uwe f1 mimi niwe nursery, umeolewa na Kiben10?Bae....
Kipindi hiki bila shaka ulikuwa nursery school
Hahahahaaa...Oooh wewe uwe f1 mimi niwe nursery, umeolewa na Kiben10?
Sichanganyi labda una ajenda ya siriHahahahaaa...
Kiben five teh teh......
Afu uache kuchanganya madesa.
Hebu ukuje tujifiche kwanza nikung'ate sikioSichanganyi labda una ajenda ya siri
NimefikaHebu ukuje tujifiche kwanza nikung'ate sikio
Wakati Benjamini Mkapa akilitangazia Taifa kifo cha Nyerere nadhani hapo ilishapati siku mbili baada ya kufa kwake , wakati huo Benjamin Mkapa alikuwa akiaandaa mazingira ya kutangaza kifo chake.da aisee naikumbuka siku hiyo nilikuwa naelekea kurasini nashuka tu kwenye gari nasikia wimbo wa taifa unapigwa nikaishiwa na nguvu hamu ya kufanya kazi yote ikaisha nikaenda kusikiliza redio mara mkapa akaanza kutangaza iliniuma sanaaaaa
nikweli ulikuwa msiba mkubwa isingekuwa rahisi afariki tu na kutangaza nchi nzima ilizizima kama vile kulikuwa na giza limelifunika taifa zimaAlionekana mnyonge na macho ya masikitiko.