Kifo cha Mwalimu Nyerere 14/10/1999, ulikuwa wapi?

Kifo cha Mwalimu Nyerere 14/10/1999, ulikuwa wapi?

mi nilikuwa STD 1 nilickia BBC jioni Mungu amupumuzishe
 
Lazima niwe mkweli nilikuwa darasa la sita shule ya msingi Mbuyuni hapo njia ya kuelekea posta, tulirudishw home kisa nyerere kafa, nilipofika nyumbani nilimkuta mwenye nyumba analia mithili ya mtu aliyebakwa
Hahaaa haaa daaahh
 
Nakumbuka jamaa mmoja humu aliandika Kuwa, unaweza ukajadiliana mambo ya mapenz na mdogo wako au mwanao humu, halafu hamjuani..... Hii ni thread ni mojawapo ya tafiti za Rika humu jf... [emoji16] [emoji16] [emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
hiyo siku nchi ilipoa sana,na shughuri zote za kitaifa zilisimama,bendera nusu mlingoti maombolezo nchi nzima.Hata mtoto mdogo ukimuuliza alikuwa anajua nyerere kafariki ingawa wengi hawakuwa wanamjua kutokana na umri hasa watoto wa jf ambao leo ni wanjanja kupta maelezo, kipindi hicho wengi wao walikuwa na kamasi tu,darasa la kwanza na la pili au la tatu hivi ila leo kiburi chao na ujuaji utazani wamekalia,over[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Nilikuwa Grade II. Wakati akiwa anapata matibabu kule St Thomas nilikuwa nafuatilia maendeleo yake toka VOA yaliyokuwa yakitangazwa na mtangazaji mahiri Elias Maghembe-SAUTI YA AMERIKA
 
Siku hiyo ndio niliyopokea mafao yangu ya uzeeni baada ya kustaafu. Hivyo nilikuwa batani
 
Nilikuwa Std 1 Bunge primary narudi home saa 7 namkuta mshua anamskiliza mzee mkapa akihutubia kwenye radio
Loh nasikia furaha kukuona mdogo wangu sisi wakubwa zako tulitolewa darasani na Mwl. Nzowa (alikua mdada flani sista duu ana weusi mzuri na tako kama lote anakaa kota za BOT) natumai ulimkuta akakufundisha hesabu. Tukaenda kupanga foleni mjengo mweupe wakatwambia tushike tama na mkono wa kushoto tukachomwa jua saaaana mpaka gari iliyobeba mwili ilipofika tulikua hoi
 
Back
Top Bottom